Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

topr

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
700
653
Iv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?
Screenshot_20161216-152528.png
Screenshot_20161216-152632.png
 
Nadhani mmoja ni cobra ambaye akimdunga mtu anakufa ndani ya masaa machache. Mwingine ni aina ya kifutu (puff adder) ambaye naye sumy yake ni mbaya sana. Huyo akikuuma nyama mwilini zinaoza mpaka unakufa
 
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom