Wana sumu Kali sana ndiyo maana wanakaa porini, kwenye mito mikubwa, mabwawa makubwa na maziwaVP wakingata wanasumu or hawana? ila wanarangi nzuri sana
Waheshimu ila usiwaogopeBasi rangi zao zilitaka nishawish niwaone wastatabu kumbeeeee....
si kila king'aacho ni dhahabu.Basi rangi zao zilitaka nishawish niwaone wastatabu kumbeeeee....
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .Nadhani mmoja ni cobra ambaye akimdunga mtu anakufa ndani ya masaa machache. Mwingine ni aina ya kifutu (puff adder) ambaye naye sumy yake ni mbaya sana. Huyo akikuuma nyama mwilini zinaoza mpaka unakufa
Hahahaah wapo au hawapo??Ok...thanks for the news