Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

Mashamba utapata, bei huwa ni Kati ya 250-300 kwa hela ikiwa na mashine ya kumwagilia
Sasa mkuu hapa Nina mtaji butu nazan sntoweza kuhimili gharama za kilimo cha nyanya hususan katika kipindi cha masika pana gharam sana, sasa kam unaweza ukaniunganisha na mdau ambaye yupo na mtaji tuunganishe nguvu, Mimi nitumie na nguvu kazi yangu na hiki kiasi cha mtaji nilichonacho tupige kazi
 
Sasa mkuu hapa Nina mtaji butu nazan sntoweza kuhimili gharama za kilimo cha nyanya hususan katika kipindi cha masika pana gharam sana, sasa kam unaweza ukaniunganisha na mdau ambaye yupo na mtaji tuunganishe nguvu, Mimi nitumie na nguvu kazi yangu na hiki kiasi cha mtaji nilichonacho tupige kazi
Kukuunganisha ngumu sababu Mimi pia Siko huko kimakazi, vema ukaenda pale ukajiekea siku kadhaa ukaona
 
Swali nzuri,majibu tafadhali,I'm anxiously waiting to hear!
Inategemeana na vitu vifuatavyo Mkuu

✓ Uwezo wa Mbegu kuota
Hapa Kila mbegu inauwezo wake tofauti na uwezo huu unapimwa kwa asilimia na huwa uinaonyeshwa kwenye kimfuko Cha mbegu husika kwa mbegu za nyanya mala nyingi ni kuanzia 75% hadi 95% kwa mbegu ivyo kama mbegu Yako inauwezo wa asilimia kadhaa ivyo kama una mbegu 1000 jee ukipanda zitaota kiasi gani ivyo ni hesabu tuu ya kawaida unaweza fanya

✓ Njia ya kupanda
Hapa Kuna Njia mbili Moja ni kuanzia kwenye kitalu na nyingine kupanda Moja kwa Moja shambani, mala nyingi kuanzia kwenye kitalu huwa inapelekea uhotaji wenye tija pia mbegu utumika kwa ufanisi kuliko kupanda Moja kwa Moja shambani maana itakubidi upande mbegu zaidi ya Moja kwa Kila shimo

✓ Tarehe ambayo mbegu Yako imefungwa/ date of package
Jinsi muda unavyo zidi kwenda ndivyo uhotaji wa mbegu unazidi kupungua ivyo inashauliwa angalau isiwe zaidi ya miaka mitatu Toka mbegu Yako imafungwa kwenye kufungashio maalumu Cha mbegu

✓ kiasi Cha Unyevu
Ili mbegu iote inahitaji vitu vitatu ambavyo ni Nyevu, oxygen na joto apo kwenye unyevu ndio changamoto maana wengi tunazidisha kiwango Cha unyevu pindi tunavyo mwagilia mwisho wa siku tunapelekea udongo kuwa na maji badala ya unyevu ivyo uhotaji wambegu unakuwa sio wenye tija

Nadhani nitakuwa nimejibu swali lako Mkuu
Asante
 
Back
Top Bottom