Aina gani ya mashine nzuri ya kunyolea?

BON255

Member
Apr 6, 2015
73
16
Nataka msaada wa kujua ni aina gani ya mashine za kunyolea nywele zenye ubora na zenye kudumu kwa mda mrefu, kama unajua na bei yake na sehemu zinapopatikana ningependa nisaidiwe, lengo langu ni kufungua BARBER SHOP.
 
Remington...ninayo nilinunua UK 2007 mpaka kesho inapiga mzigo maandishi tu ndio yamefutika!
 
Wahl bado zipo vizuri kwa almost 20yrs now, sema bei zake pia zipo juu around 125k-140k, na kama ukitafuta hakikisha umeipata original toka US
wahl home cutting machine:
d33cd601904fab3a7c7fecfaeee8d59c.jpg
f8b7d8c2c0d4eeb14fa2e7c1c85d5141.jpg
dbd81d8ba865cfc6a1ba1157b7bce1b9.jpg
88d2612760f616eaf32ca9b1cc56bbb6.jpg

Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh hiyo Wahl gani ya US na ratings za umeme ni 230V...???
Mkuu hii post yako ndio nimeiona leo. Kiufupi ni kwamba hizi mashine za wahl Mmarekani ametwngeneza kwa aina mbili, zipo ambazo power ratings yake ni kwa ajili ya kuuzwa ndani ya US na Canada pekee na nyingine zipo kwa ajili ya kuuzwa nje ya US.
US pekee power ratings zake ni 115~127
Nje ya US ratings zake ni 220~230.

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
CE=Chinese equipment, US tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio maana yake hiyo.
CE ina maana tofauti na hiyo uliyoweka hapo juu.
Mtengenezaji wa bidhaa ili kukakikisha kuwa bidhaa yake imekidhi ubora ndio bandiko linawekwa.

CE marking - Wikipedia

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
Okay mkuu maana wale jamaa macho madogo wamekuwa watukutu sana kutengeneza vitu kwa kumithilisha majina ya kampuni kubwa

Heri ya miaka miwili mipya mkuu 2018, 2019 maana imechukua takribani mwaka ni miezi....

Mkuu hii post yako ndio nimeiona leo. Kiufupi ni kwamba hizi mashine za wahl Mmarekani ametwngeneza kwa aina mbili, zipo ambazo power ratings yake ni kwa ajili ya kuuzwa ndani ya US na Canada pekee na nyingine zipo kwa ajili ya kuuzwa nje ya US.
US pekee power ratings zake ni 115~127
Nje ya US ratings zake ni 220~230.

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
Okay mkuu maana wale jamaa macho madogo wamekuwa watukutu sana kutengeneza vitu kwa kumithilisha majina ya kampuni kubwa
Mkuu hiyo ni original kabisa na sikununua dukani, bali kuna rafiki yangu ndio alikuwa anauza na nilikwenda kuichukua mwenyewe Zenji. Hadi leo hii na box lake ninalo home

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
Watu8 Ila mkuu ulopotea sana kulikoni wakati wewe ndio ulinikaribisha humu? Au majukumu yalibana?

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
Okay mkuu maana wale jamaa macho madogo wamekuwa watukutu sana kutengeneza vitu kwa kumithilisha majina ya kampuni kubwa

Heri ya miaka miwili mipya mkuu 2018, 2019 maana imechukua takribani mwaka ni miezi....
Nashukuru mkuu, nawe pia heri ya miaka miwili mipya

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom