Remington...ninayo nilinunua UK 2007 mpaka kesho inapiga mzigo maandishi tu ndio yamefutika!Nataka msaada wa kujua ni aina gani ya mashine za kunyolea nywele zenye ubora na zenye kudumu kwa mda mrefu, kama unajua na bei yake na sehemu zinapopatikana ningependa nisaidiwe, lengo langu ni kufungua BARBER SHOP.
Redirect Notice kama hii hapa kiongozii?Remington...ninayo nilinunua UK 2007 mpaka kesho inapiga mzigo maandishi tu ndio yamefutika!
Wahl bado zipo vizuri kwa almost 20yrs now, sema bei zake pia zipo juu around 125k-140k, na kama ukitafuta hakikisha umeipata original toka US
wahl home cutting machine:
Jamii Forums mobile app
Wahl bado zipo vizuri kwa almost 20yrs now, sema bei zake pia zipo juu around 125k-140k, na kama ukitafuta hakikisha umeipata original toka US
Mkuu hii post yako ndio nimeiona leo. Kiufupi ni kwamba hizi mashine za wahl Mmarekani ametwngeneza kwa aina mbili, zipo ambazo power ratings yake ni kwa ajili ya kuuzwa ndani ya US na Canada pekee na nyingine zipo kwa ajili ya kuuzwa nje ya US.Mmmmh hiyo Wahl gani ya US na ratings za umeme ni 230V...???
Mkuu sio maana yake hiyo.
Mkuu hii post yako ndio nimeiona leo. Kiufupi ni kwamba hizi mashine za wahl Mmarekani ametwngeneza kwa aina mbili, zipo ambazo power ratings yake ni kwa ajili ya kuuzwa ndani ya US na Canada pekee na nyingine zipo kwa ajili ya kuuzwa nje ya US.
US pekee power ratings zake ni 115~127
Nje ya US ratings zake ni 220~230.
"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
Mkuu hiyo ni original kabisa na sikununua dukani, bali kuna rafiki yangu ndio alikuwa anauza na nilikwenda kuichukua mwenyewe Zenji. Hadi leo hii na box lake ninalo homeOkay mkuu maana wale jamaa macho madogo wamekuwa watukutu sana kutengeneza vitu kwa kumithilisha majina ya kampuni kubwa
Nashukuru mkuu, nawe pia heri ya miaka miwili mipyaOkay mkuu maana wale jamaa macho madogo wamekuwa watukutu sana kutengeneza vitu kwa kumithilisha majina ya kampuni kubwa
Heri ya miaka miwili mipya mkuu 2018, 2019 maana imechukua takribani mwaka ni miezi....