Aina gani ya mashine nzuri ya kunyolea?

Maisha ni bahari kubwa mkuu, wakati mwingine unapanda jahazi la kukupeleka mbali hata usiweze kuwa na mtandao au ukatindikiwa na mishughuliko...

Hata hivyo huwa napita nipatapo wasaa
Watu8 Ila mkuu ulopotea sana kulikoni wakati wewe ndio ulinikaribisha humu? Au majukumu yalibana?

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
Wakuu, Sasa hivi hizo mashie za viwango na original Dar nitapata sehemu gani? Na kwa bei gani?
 
Nataka msaada wa kujua ni aina gani ya mashine za kunyolea nywele zenye ubora na zenye kudumu kwa mda mrefu, kama unajua na bei yake na sehemu zinapopatikana ningependa nisaidiwe, lengo langu ni kufungua BARBER SHOP.
Pia pata japo moja ya kuchaji itakufanya uendelee na kazi bila umeme wa makamba pindi ukikata.
 
Wahl bado zipo vizuri kwa almost 20yrs now, sema bei zake pia zipo juu around 125k-140k, na kama ukitafuta hakikisha umeipata original toka US
wahl home cutting machine:
d33cd601904fab3a7c7fecfaeee8d59c.jpg
f8b7d8c2c0d4eeb14fa2e7c1c85d5141.jpg
dbd81d8ba865cfc6a1ba1157b7bce1b9.jpg
88d2612760f616eaf32ca9b1cc56bbb6.jpg


Jamii Forums mobile app
Hv SIDO hawawezi kutengeneza mashine za kunyolea?
 
Back
Top Bottom