Aina bora ya feni za ndani

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,801
wandugu habari

nalikuwa naomba kujuzwa aina bora ya feni za ndani ambazo ni nzuri na zinazidumu kwa muda kidogo na zinazoweza kuhimili mazingira ya umeme kukatika bila taarifa

pia nitafurahi kama nitaambatanishiwa na bei kabisa ,maana hili joto siku hizi ni aidi ya jehanamu binafsi ya ndani

asante
 
Kuna feni inaitwa everest, vile vya kawaida lakini vinawekwa juu kwenye ceiling board. Hutajuta.

Ukitaka pangaboi chukua za Panasonic zenye number ya speed 5.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom