AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Huu ni ushauri wa bure.

Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati.

Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi.

Kupiga picha na selfie kwenye magari ya watu na haina maana. Huu ni utapeli wa kitoto. Jitahidini kua wabunifu.

Nina hasira baada ya mtu ninaemheshimu juzi kunipeleka kwenye seminar ya mambo ya kipumbavu.

Hovyo kabisa.
 
Hakuna Pesa Ya Bure Awamu Hii Ya Tano
Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa

🤨😏
Tutafute Pesa Tu, Kwa Njia Nzuri, Hao Mataperi Wa Kuuza Picture Na Maneno ✍
 
Hizi kampuni zimepigwa marufuku nchi zilizoendelea, nchi zetu zinaona zinawakumbatia, business model yao ni illegal in many countries, yaani Tanzania wizara zimekaa sijui zinafanya nini, matatizo yapo kila kona na mengine solution ni ndogo sana, ni kusema tu umepigwa marufuku wakaondoka. Shithole country
 
Malizia ukanunua na saa ya million 5
Huu ni ushauri wa bure.

Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati.

Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi.

Kupiga picha na selfie kwenye magari ya watu na haina maana. Huu ni utapeli wa kitoto. Jitahidini kua wabunifu.

Nina hasira baada ya mtu ninaemheshimu juzi kunipeleka kwenye seminar ya mambo ya kipumbavu.

Hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi kampuni zimepigwa marufuku nchi zilizoendelea, nchi zetu zinaona zinawakumbatia, business model yao ni illegal in many countries, yaani Tanzania wizara zimekaa sijui zinafanya nini, matatizo yapo kila kona na mengine solution ni ndogo sana, ni kusema tu umepigwa marufuku wakaondoka. Shithole country

Mbona hao Qnet wanadai wanaudhamini namatch za nje...yaan dah hapa nimestaajabu kwakweli..sikua najua hili
 
Halafu cha ajabu zaidi hao hao viongozi wa serikalini wanaenda kupiga picha nao na kuwahamasisha watu kuwa wasiogope kujiunga na ni sehemu salama.
Hizi kampuni zimepigwa marufuku nchi zilizoendelea, nchi zetu zinaona zinawakumbatia, business model yao ni illegal in many countries, yaani Tanzania wizara zimekaa sijui zinafanya nini, matatizo yapo kila kona na mengine solution ni ndogo sana, ni kusema tu umepigwa marufuku wakaondoka. Shithole country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hao Qnet wanadai wanaudhamini namatch za nje...yaan dah hapa nimestaajabu kwakweli..sikua najua hili
Hawana chochote, Qnet wanajifanya kua wao sio pyramid scheme, kua wana products nzuri wanauza kwa hiyo income ipo.

Ila system wanayotumia ya marketing ni ileile, get more people in you make more money, then wanapush sana watu wauze products zao, wangekua na product nzuri wasingehitaji kutumia pyramid scheme kuuza product yao, wangefanya marketing ya kawaida tu wangeingiza pesa kibao, siku hizi watu wanauza product hata instagram na wanatengeneza millions, why go the route ambayo itapunguza mno faida yako kwa kusplit income kama una product nzuri?

They know their products are shit, wanaishia kutumia business model za wizi. Honestly hizi companies zinazotumia hii scheme muwe mnakaa nazo mbali sana, it's a total waste of time na kusema kua mtu utatajirika hapo si kweli, utapata vi laki vichache then hela itakata, most of the money itaishia kwa waanzilishi.
 
Dah..namuonea huruma jirani yangu.. anyways kupanga ni kuchagua
 
unaleta watu 2 nao wataleta watu 2 kila mmoja tayari tunaanza kupiga pesa
Dola 200@pp!😄😄!
Juzi walinisumbuaaa... ikabidi na mimi niwaletee mahesabu yangu .. mishe nazofanya.. wakabaki kusema sawa madame lakini toka huko bwana njoo mjini tupige hela.. nikasema mbona unachoingiza mie naingiza zaidi yako mkuu? Wakabaki oh mwanamke unakaa migodini toka huko bwana😄😄!
Hiyo dola 200 hadi umpate mtu alipie hiyo 4m ni leo?? Upuuzi tu
 
Back
Top Bottom