Aiii we bwana weewe kunyima mwenzio dhambi kidude unpewa na mungu buree!

Mama Big

Kuna taarab moja ina maneno kama haya (sijuimwimbaji)

"..Kila uonacho wakitolea macho ..wataka kukichukua..."
"..Japo siyo chako wakitolea macho..wataka kukichukua.."

E.t.c

Kwa nini utoe macho wakati unachotaka wapata kwa wakati na mnaenda kwa zamu
 
Pamoja na Aliyetupa Alitupa bure lakini Alituwekea masharti ya namna ya kukitumia siyo kumpa kila mtu.............eti kwa sababu Aliyetupa Alitupa bureeeeeeeeeeeeee.................basi sasa liwe bora liende hilo halitawezekana...........inabidi utakayempa lazima kweli awe anastahili na siyo kila mtu anastahiili..........

Wewe wasema wenzako watenda na ukijitia hutaki wenzio wataka na wanagawa kama njugu
 
NAOMBENI MSAADA MAMA BIG NA WENGINE, eti kwa wale wenye maumivu makali wakati wa MP, inawezekana kuyapunguza kwa kufanya mapenz siku chache kabla ya mwezi kuanza? vp hii inahusiana vp kitaalam na maumivu ambayo mtu anapitia kutokana na mzunguko wa yai?

noambeni msaada pliz
 
duh hiyo kali kwani kanisa lile pale halifanyi mamboyake?nasikia hiyo biashara ilishasahaulika pale siku hizi ni uwanja wa sifa jamani loh...bwana yesu asifiwe...

Dah avatar na jina hata havitofautiani.....:doh::doh::doh:
 
NAOMBENI MSAADA MAMA BIG NA WENGINE, eti kwa wale wenye maumivu makali wakati wa MP, inawezekana kuyapunguza kwa kufanya mapenz siku chache kabla ya mwezi kuanza? vp hii inahusiana vp kitaalam na maumivu ambayo mtu anapitia kutokana na mzunguko wa yai?

noambeni msaada pliz

Havihusiani, maumivu yanaweza kusababishwa na change of hormones, stress and sometimes mabadiliko ya hali ya hewa,
Try exrcises mara kwa mara, a balanced diet and wakati wa maumivu jikande na maji ya moto or rather take painkillers.
If it doesnt work please see a gaenocologists for further analysis, sometimes ukiwa na 'fibroids' uvimbe kwenye kizazi inaweza kusababisha maumivu.
*Sorry guys hii imeenda off-topic,
 
:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 
Wewe wasema wenzako watenda na ukijitia hutaki wenzio wataka na wanagawa kama njugu

Tatizo lako mama Big mchoyo sana umemkamata huyo vuvuzela ndo basiii hebu jaribu kwa serengeti boys uone utamu wake
 
duh hiyo kali kwani kanisa lile pale halifanyi mamboyake?nasikia hiyo biashara ilishasahaulika pale siku hizi ni uwanja wa sifa jamani loh...bwana yesu asifiwe...

Avatar yako si nzuri kuiangalia jamani, na haiendani na ujumbe wa kumsifu kristo
 
Back
Top Bottom