Aifunika aibu ya baba yake : Matumla junior amchapa mdogo wake francis cheka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aifunika aibu ya baba yake : Matumla junior amchapa mdogo wake francis cheka

Discussion in 'Sports' started by ngoshwe, Jan 2, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MOHAMED MATUMLA JUNIOR AIFUNIKA AIBU YA BABA YAKE, AMTWANGA COSMAS CHEKA  [​IMG]
  Mh. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akifungua mechi ya Boxing kati ya Mohamed Matumla Junior na Cosmas Cheka Junior.
  [​IMG]
  Rashid Matumla aliyevaa kofia akimuelekeza machake Mtoto wake huku Mbwana Matumla akimpa hope Mtoto wa kaka ake na mwisho kule ni Mkwanda matumla akimpa maji.


  Hawa jamaa nimewakubali dogo akipata kichapo sijui angeponea wapi na hawa Baba zake.
  [​IMG]
  Mpambano ukiendelea.

  [​IMG]
  Mohamed Matumla
  [​IMG]
  Mohamed Matumla Kushoto na Cosmas Cheka wakioneshana uwezo wa kutupa Masumbwi jana

  [​IMG]
  Baada ya Mpambano mkali Mohamed Matumla alitangazwa kuwa ni mshindi, amemshinda Cosmas Cheka kwa point.


  KAPINGAZ: MOHAMED MATUMLA JUNIOR AIFUNIKA AIBU YA BABA YAKE, AMTWANGA COSMAS CHEKA JUNIOR KWA POINT.

  OHAMED MATUMLA, mtoto wa bondia mkongwe nchini, Rashid Matumla, jana alifurahia vizuri shamara za mwaka mpya kwa kumchapa Cosmas Cheka ambaye ni mdogo wa bondia maarufu Francis Cheka katika mpambano uliofanyika katika Manispaa ya Morogoro.Mpambano huo ambao mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ulifunguliwa kwa onyesho la utani kati ya kiongozi huyo na mwamuzi wa shindano hilo, Anthony Luta.Rashid Matumla aliyesafiri kutoka Dar es Salaam, na Francis Cheka walikuwepo kushuhudia mtanange huo ambapo walishiriki katika kutoa ushauri mbalimbali kwa wapiganaji hao ambao baada ya kumalizika walikumbatiana kuonyesha upendo.
  .
  [​IMG]
  Mohamed Matumla akipewa ushauri wakati wa mapumziko. Kushoto ni baba yake, Rashid Matumla.
   
Loading...