Aidsday jamani tutafakari

Strawberry

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
274
108
Jamani Hii siku ya Ukimwi duniani umejipangaje mwenzangu.Na takwimu zinaonesha hakuna familia/koo hapa nchini Tanzania ambayo haijaguswa na tatizo hilo.
Chukua hatua hizi kuahikisha unajipa furaha na matumaini jamii inayokuzunguka.

Kutokomeza Unyanyapaa.
Kupima na kujitambua
Kujilinda na kumlinda mwenza wako
Kumpenda na kumthamini mwathirika
Toa elimu katika jamii inayokuzunguka
nawakilisha.
wadau toeni michango yenu jamani
 

Attachments

  • CondomAids.png
    CondomAids.png
    21.1 KB · Views: 46
Strawberry vipi Mkuu!

Hii Post yako ya kwanza hapa Jamvini - si angalau ungesema Hi! kwa wana Jamvi!

Ila karibu JF

Teh teh teh Dotworld kakangu kuwa mvumilivu jamani si kazi hii ni account yangu ya mafichoni bwana ili mme wangu asinishitukie.Ile ya kwanza ilitaka kunivunjia ndoa bwana.
 
Teh teh teh Dotworld kakangu kuwa mvumilivu jamani si kazi hii ni account yangu ya mafichoni bwana ili mme wangu asinishitukie.Ile ya kwanza ilitaka kunivunjia ndoa bwana.
sasa nitamtonya kuwa umefungua account mpya ya kushtakia mambo zake huu
 
ukijiheshimu na kudhamini mwuli wako utamulinda hata umpendaye. tuweni wacha Mungu tufuateni maadili ya Mungu tutatokomeza HIV nje ya hapo yatima wataongezeka kila kukicha
 
Tuache uzinzi na tumuhofu Mungu zaid,pia tuwapende na kuwajal walopatwa na janga hili kwan ni janga letu sote.
 
naona thread za UKIMWI wadau wanakua wachache, njoo kujle mwaya na mimi nimeanzisha ya UKIMWI na nitaomba kuwe na sub-forum ya AIDS kwenye Jukwaa la Afya
 
Back
Top Bottom