AIDS-viajana tuchukue tahadhari!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,879
13,163
[h=2]SKIN LESIONS IN HIV-AIDS PATIENTS - HIV Kaposi picture[/h]
00001921_standalone.jpg

Hili gonjwa halina kinga wala dawa,tuchukue tahadhari wandugu.
Kama mdau una picha ya dalili za wazi weka hapa tupeane somo.
 
[h=2]SKIN LESIONS IN HIV-AIDS PATIENTS - Pigmentation in a patient with AIDS picture[/h]
00001301_standalone.jpg

Jamani gonjwa hili linatisha na linatesa.
 
A doctor examines an emaciated AIDS patient in Lusikisiki, South Africa. Ninety-four out of every hundred HIV-infected people live in developing nations, where currently available drug therapies are largely unaffordable.

<tbody>
</tbody>
Mungu atuhurumie!
 
I am thankful for not being wheeled to the clinic to receive medical attention.I am thankful for invisible symptoms of the HIV/AIDs externally such as skin lesions or rashes.I am thankful that despite the fact that am a &#8216;carrier',functioning properly is not a issue

.As seen on the photo on the left of this Kenyan man before and after ARV treatment.

Tusikate tamaa, tuwe na moyo mkuu kama huyu jamaa wa Kenya.
Alifikia hali mbaya lakini akawahi hospitali na huwa haamini kuwa alikuwa hivyo hapo nyuma.
 
<center style="-webkit-transition-property: all; -webkit-transition-duration: 0.2s; -webkit-transition-timing-function: linear; -webkit-transition-delay: initial; ">
</center>

Just take care ladies and gentlemen, its Worlds AIDS DAY today.
 
Kuacha ngono ni nadharia tu cha msingi tuelimishane namna ya kujikinga na ugonjwa huu.Nimegundua akina dada wana udhaifu ktk kusisitiza matumizi ya mipira yaani condoms.
 
ni kweli kaka baadhi ya wadada huwa tunakuwa na udhaifu ktk matumizi ya ndom,
nakumbuka mi mwenyewe nlipoanza mahusiano mpya miaka 7 iliyopita tulikaa na mpenz kwa muda wa miezi mitatu ndo tukavunja amri ya sita.
nakumbuka hiyo siku tulitokea club tukaenda kwake. kabla ya kuanza ku do nikamwuliza ndom je zpo wapi? akajibu hana huku ananipapasa mtoto wa kike nikaregea na kusahau ndom.
tuli do mara nyingi sana bila ndom wala kwenda kupimaa. mpaka hapo badae tulipo amua kuwa bibi na bwana ndo tukakumbuka kupima.
nlishukuru mungu kwa kuwa wote tulikutwa hatujaathirika na ndo mume wangu mpaka leo hii.

sasa hili swali huwa linajirudia kichwani mwangu, je angekuwa na ni muathirika leo hii nisingekuwepo, na kwanini sikukataa kufanya mapenzi bila ndom nikajikuta nadanganyika kirahisi saana bila ubish hata kdg.

wadada wengi sana wanapojikuta wapo ktk hali yakutaka kukutana kimwili na mwanaume afu afu kukawa hakuna uwezekano wakupata ndom swali huwa"nikipta mimba je? ni wachache sana wanaoulizia je nikipata ukimwi. ama ntakuamini vp.

Jamani wapendwa ukimwi upo tena sana unaweza kukuijia kupitia hata kwa mtu unayemwamini. tuwe waaminifu tukishindwa basi tukumbuke hata dume.
 
A very honest account.
Jamani tuchukue tahadhari, ukimwi upo hata kwa usiyemdhania.
 
Nashukuru kwa kulikubali hilo, katika kufuatilia nimegundua wanawake wengi wanapenda na kumbe wanaume tunatamani. Kwa hali hiyo basi kupenda kuna element za ujinga yaani kupuuzia mambo ya msingi katika mahusiano (Samahani kwa kusema hivyo). Kuna misemo ya kipumbavu pia eti ukimchunguza sana kuku hutamla na hivyo kuamua kulifumbia jichon suala nyeti kama hili la kujali na kuchukua hatua.

Nawaasa akina dada wabadilike, waachane na athari za mfumo dume kuwa mwanamke hatakiwi kutoa kauli kwenye mahusiano. Tena wanawake wakiamua naamini jamii haitaangamia kiasi hiki, wanaume ni wadhaifu sana kwenye eneo hilo ndio maana wanaacha hata nyumba zao iweje washindwe kutimiza amri ya kutumia ndom!!
 
Ni kweli kabisa mkuu usemayo lakini tusiwalaumu wanadada peke yao.
Na sisi wanaume tuna role kubwa kutokomeza janga hili. Kukubali kuwa sisi wanaume ni weak ifikapo wakati wa ngono bila kinga ni kukubali kushindwa hata kabla ya mapambano ya maisha yako.

Ingawaje ni ngumu kupigana na gonjwa hili- kama alivyo sema Mzee Ruksa, gonjwa liko pale pale sote tunapopapenda!

Lets try the ABC METHOD
ABSTINANCE-kujizuia kufanya ngono, kwa mswahili najua ni ngumu sana tena sana.
BE FAITHFUL(fidelity)- tuwe na mpenzi mmoja
CONDOMIZE-tujitahidi kutumia kinga, mihemuko ikizidi

Lakini what is at stake ni maisha yako yote yajayo.
Lets take care.
 
Inatisha sana na ni kikumbuka nilivyo wapeteza Ndugu wangu wa karibu kabisa inanimua sana na nimejikuta nikitokwa na Machozi baada ya kuona hizo picha,

Ukimwi unachangia umasikini sana wale Wanaotegemewa wanapo waancha wategemea inakua ni huzi juu ya huzi, very sad
 
Pole sana ndugu yangu, na mimi nalia na wewe kwa kuwakumbuka wapendwa wetu wengi waliopotea kwa janga hili.
Ni vema tulio hai tukumbushane jinsi ya kuepukana na janga hili.
 
Back
Top Bottom