Aidan Khenan achangia kwa mara ya kwanza Bungeni, asema hana mashaka na uzoefu wa Tulia Ackson katika nafasi ya Naibu spika

Wameanza kumtafutia attention huyo dada.

Suala la muda kuongezwa kwa hao wabunge waropokaji pointless itakuwa adhabu kubwa sana kwao.
 
..ushauri wangu kwa huyu mama ni kwamba asikubali kutumika.

..pia aelewe kwamba yeye peke yake hawezi kuwa mbadala wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.

..ukweli ni kwamba bunge la 12 ni bunge la chama kimoja, and there is nothing Hon.Aida Khenan can do to change that.
Asikubali kutumika namna gani wakati ameshatumika? Hivi unafikri huo ushindi aliopata umedondoka kutoka mbinguni? Au labda walishindwa kuchakachua kura kama walivyofanya sehemu nyingine? Haya mambo yalishapangwa na hata huyo wa CCM aliyechuwana naye huenda alishinda lakini akakatwa ili na kuwekwa huyu.
 
Hilo la kutumika mbona dhahiri tayari amekubali? Angalia kura alizopiga?

Kama angekuwa kweli ana msimamo, angeitumia hiyo nafasi ya kuthibitisha kuwa yeye ni mpinzani wa kweli. Mpinzani wa kweli angepiga kelele na kuwakumbusha wabunge wenzake kuhusu "dhulma" ambayo chama chake kimefanyiwa katika uchaguzi uliopita na kusababisha awe peke yake.

Amandla...
Huyu kapelekwa bungeni na CCM. Ni mipango ilishapangwa.
 
Wana CCM ni wanafiki saana, hivi huyu Kessy na Mama Hawa Ghasia waliwakoea nini?
 
Kosa lake Nini Hadi unataka afutwe uanachama wakati huu na .hukupendekeza afutwe kabla ya kugombea?
Watu wengi sana wanaumizwa na kitendo cha Aida kuingia Bungeni. Yaani chuki imezidi mpaka inafifisha uwezo wa kuyaangalia mambo kwa mapana yaka. Sasa Aida afukuzwe uanachama ili iweje - au ni ile mambo ya 'tukose wote'?

Kuna haja ya kuchange strategies. Kufukuzana uanachama kwa sababu lainilaini in my opinion haijawahi kukijenga chama
 
Chadema mfukuzeni huyo mama ili asikinajisi chama kwakufanya hivyo mtakuwa mmejitenga na Utopolo wake.
 
Kuimba MAPAMBIO hakuhitaji usomi wa shule, darasa la saba La Msukuma, Lusinde linatosha sana.
CCM imefanya hata mtu wa Darasa la saba anajiona Bora kuliko PhD.
MATARUMBETA kwa kwenda mbele na kugonga meza.
Mbona DJ zero Mbowe anajiona Bora kuliko Safari ambaye ni professor?
 
Back
Top Bottom