Aibu ya Tanzania yaanikwa uwani

Rugemeleza

JF-Expert Member
Oct 26, 2009
668
136
Ndugu Wanajamii Forum

Naomba nitume habari hii jinsi Naomi Campbell alivyojionea aibu yetu kubwa ya kushindwa kuwapatia akina mama wazazi wodi zinazofaa wakati na baada ya kujifungua. Aibu hii ilinipata sana Mwezi wa tano mwaka huu nikiwa Marekani pale Raisi Kikwete (sio Rais kama tulivuozoea kusema na kuandika) alivyotembelea Marekani kwani Gazeti la New York Times lililluwa na makala maalumu kuhusu hali hii mbaya ya hospitali zetu hasa ile ya Mawenzi mwanafunzi mwenzangu kutoka Italia alinieleza na kuendelea kuniuliza kuhusu hali hii ya aibu sikuwa na jibu lolote lile la kumujibu kwani ninafahamu gharama ya msafara wa Raisi unatosha kabisa kuwapatia akina mama zetu wodi nzuri za kujifungulia. Vipaumbele vya serikali yetu na ukondoo wa wananchi ndio unasababisha aibu kama hii kuendelea kutupata.
Asante sana
Rugemeleza


Supermodel Naomi Campbell weeps

By Khalfan Said
14th November 2009

Touched on seeing mothers and their newborns crowded in Temeke hospital maternity wing


British supermodel Naomi Campbell, who is Global Ambassador for White Ribbon Alliance, weeping after visiting a congested maternity ward (L) at Temeke District Hospital in Dar es Salaam yesterday.

Visiting Global Ambassador of White Ribbon Alliance (WRA) Naomi Campbell yesterday shed tears after witnessing mothers with their newly born babies sharing beds or sleeping on the floor at Temeke hospital.

The British supermodel was visiting the hospital in Dar es Salaam as part of her charity work in the country for the Alliance.

Naomi was emotionally overwhelmed after witnessing three women, who had just delivered sharing a small bed.

A number of others lay on the floor and on benches with their newly born babies.

Those who were yet to deliver sat on the floor due to acute shortage of beds and wards.

“This is unbelievable,” was the phrase she kept uttering as she surveyed the tiny, congested maternity ward.

The model retreated to a nearby tree and leaning on it wept silently. She was consoled by colleagues.
“We appeal to the government to provide us with more beds; we are overcrowded,” said one of the mothers who sat on one of the beds with her baby and two colleagues.

One of the midwives who pleaded anonymity said: "The place is too small for us, it needs expansion. I delivered a baby on the floor because we don’t have beds. The authorities are aware of the situation,” she said.

According to the acting medical in-charge of the hospital, Dr. Gilbert Buberwa, there has been a sharp increase of in-patients which the hospital has been unable to handle.

"The facilities we have can no longer cater for all these people, that is why this is happening. We really have to do something about this as a nation, " said a nurse who would not give her name.

“This is unacceptable, it’s very unfair. How can people be treated like these?, asked Stara Thomas also in tears. The local singer was accompanying Naomi Campbell at the hospital.

Later on the visiting model distributed khangas to mothers and presented bouquets of flowers to two wards.

Sources told The Guardian that, as the Global Ambassador for WRA, she was in the country for her Fashion for Relief (FFR), a charity catwalk event to raise funds for an awareness campaign for safe pregnancy and childbirth.
Meanwhile, Correspondent Hellen Nachilongo reports that Tanzania is unlikely to achieve the Millennium Development Goals by 2015 unless major attention and investment is channeled to reducing under-five and maternal mortality.

Health and Social Welfare minister, Prof David Mwakyusa made the remarks in Dar es Salaam yesterday when receiving ambulances, vehicle, motorbikes, maternal and newborn health equipment worth 1.3bn/-.

He said improving maternal, newborn health and care for pregnant women is among priority areas calling for support from everyone.

According to the minister the ambulances and communication equipment will improve referrals in Mbeya, Lindi, Kagera and Kigoma regions and will have an impact on maternal and newborn care.

“This system will save the precious lives of thousands of children every year from death because of lack of such equipment,” he said.

“The support we are receiving will strengthen the tumour control programme and other neglected tropical diseases which continue to be a serious challenge in the country, ” Prof mwakyusa said.

He thanked the European Union (EU) and World Health Organisation (WHO) for the support and called on other partners and stakeholders to follow their example.

For his part the UN Resident Coordinator Alberic Kacou said they decided to donate the equipment because the Sub Saharan African countries including Tanzania suffered from high maternal and child mortality rates.

The WHO Country Representative Jean Tapko said Tanzania was among eight countries benefitting from the organisation’s assistance,calling for strengthening of the national capacity to face the challenge.

“Pregnant women and children are supposed to be given priority care, including protection from malaria in the country,” he said.

This is a second phase project which will run from 2009/10. The EC and WHO programmes are being implemented in Coast, Lindi and Rukwa regions as well as Zanzibar.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Wapenzi hii ndiyo makala ya Gazeti la New York Times la tarehe 24 Mei 2009. Nitajitahidi kuweka picha hizo za kusikitisha katika uzi huu.


Death in Birth Where Life’s Start Is a Deadly Risk

By DENISE GRADY
Published: May 23, 2009
BEREGA, Tanzania — The young woman had already been in labor for two days by the time she reached the hospital here. Now two lives were at risk, and there was no choice but to operate and take the baby right away.
Skip to next paragraph Enlarge This Image
24birth2_190.jpg

Béatrice de Géa for The New York Times

LEFT BEHIND A father holds his baby after his wife died in childbirth in Moshi, Tanzania. “Too many die, too young,” said a doctor worried about maternal deaths.

Death in Birth

Preventable Losses More than half a million women a year die during pregnancy and in childbirth, largely from problems that can be treated or prevented. This is the first of three articles on efforts to lower the death rate in one African country, Tanzania.


Multimedia

24mortality_190.jpg


Photographs Childbirth in Tanzania

24birth-graf01-190.jpg

Graphic Maternal Deaths

It was just before dawn, and the operating room, powered by a rumbling generator, was the only spot of light in this village of mud huts and maize fields. A mask with a frayed cord was fastened over the woman’s face. Moments later the cloying smell of ether filled the room, and then Emmanuel Makanza picked up his instruments and made the first cut for a Caesarean section.

Mr. Makanza is not a doctor, a fact that illustrates both the desperation and the creativity of Tanzanians fighting to reduce the number of deaths and injuries among pregnant women and infants.

Pregnancy and childbirth kill more than 536,000 women a year, more than half of them in Africa, according to the World Health Organization.

Most of the deaths are preventable, with basic obstetrical care. Tanzania, with roughly 13,000 deaths annually, has neither the best nor the worst record in Africa. Although it is politically stable, it is also one of the world’s poorest countries, suffering from almost every problem that contributes to high maternal death rates — shortages of doctors, nurses, drugs, equipment, roads and transportation.

There is no single solution for a problem with so many facets, and hospital officials in Berega are trying many things at once. The 120-bed hospital here — a typical rural hospital in a largely rural nation — is a case study in the efforts being made around Africa to reduce deaths in childbirth.

One stopgap measure has been to train assistant medical officers like Mr. Makanza, whose basic schooling is similar to that of physicians’ assistants in the United States, to perform Caesareans and certain other operations.

Tanzania is also struggling to train more assistants and midwives, build more clinics and nursing schools, provide housing to attract doctors and nurses to rural areas and provide places for pregnant women to stay near hospitals

But there is a shortage of Emmanuel Makanzas, too. As he began to operate, he said he should have had another pair of skilled hands to assist him. But, he said, “we are few.”

He made a quick, vertical cut, working down from just below the navel, through one layer at a time: skin, fat, muscle, the peritoneal membrane. Within three or four minutes he had reached the uterus, sliced it open and wrestled out a limp, silent baby boy exhausted by the prolonged labor and knocked out by ether. It took a nurse 5 to 10 minutes of vigorous resuscitation to get him breathing normally and crying.

There are many nights like this at the hospital here, 6 miles from the nearest paved road and 25 miles from the last electric pole. It is not uncommon for a woman in labor to arrive after a daylong, bone-rattling ride on the back of a bicycle or motorcycle, sometimes with the arm or leg of her unborn child already emerging from her body.

Some arrive too late. In October, a mother who had been in labor for two days died of infection. In November and December, two bled to death. Doctors say they think that more deaths probably occur outside the hospital among the many women who try to give birth at home.

A few minutes’ walk from the hospital is an orphanage that sums up the realities here: it is home to 20 children, all under 3, nearly all of whose mothers died giving birth to them.

“You can never get used to maternal deaths,” said Dr. Siriel Nanzia Massawe, an obstetrician and the director of postgraduate studies at Muhimbili University of Health and Allied Sciences in Dar es Salaam, the country’s largest city. “One minute she’s talking with her husband, then she is bleeding and then she is gone. She’s gone, very young. You cannot sleep for one week. That face will always come back to you. Too many die, too young. But the people in power, they have not seen it. We need to make them aware.”

Over the course of several days at Berega, the difficulties became clear. At times, Mr. Makanza performed one Caesarean after another, sometimes in the middle of the night. One mother was only 15. Another had already had two Caesareans, adding to the risk of this operation or any future pregnancies, but she declined Mr. Makanza’s recommendation to be sterilized.

Others had hoped to speed their labor by taking herbal medicine but were suffering dangerously strong contractions. Hospital staff members struggled to keep up with the operations, handwashing bloodstained gauze and surgical drapes in basins and mopping blood from the floor between cases.
Two women had severe problems from high blood pressure.

One came to the hospital after giving birth at home and having a seizure. Another delivered a full-term infant who had died in her womb at least a week before; her only other pregnancy had ended the same way.

A mother in the maternity ward had arrived in labor with twins, one already dead. A Caesarean had saved the second.

The Global Perspective

Women in Africa have some of the world’s highest death rates in pregnancy and during childbirth. For each woman who dies, 20 others suffer from serious complications, according to the W.H.O. “Maternal deaths have remained stubbornly intractable” for two decades, Unicef reported last year. In 2000, the United Nations set a goal to reduce the deaths by 75 percent by 2015. It is a goal that few poor countries are expected to reach.

“Why don’t we have a global fund for maternal health, like the one for TB, malaria and AIDS?” Dr. Massawe asked.

Tanzania has reduced its death rate for young children, but not maternal mortality. The Ministry of Health says its maternal death rate is 578 per 100,000 births, but the World Health Organization puts the figure at 950 per 100,000. By contrast, the health organization estimates the rate in Ireland, the world’s lowest, to be 1 per 100,000. Skip to next paragraph

Death in Birth

Preventable Losses More than half a million women a year die during pregnancy and in childbirth, largely from problems that can be treated or prevented. This is the first of three articles on efforts to lower the death rate in one African country, Tanzania.


The women who die are usually young and healthy, and their deaths needless. The five leading causes are bleeding, infection, high blood pressure, prolonged labor and botched abortions. Maternal deaths from such causes were largely eliminated nearly a century ago in developed countries. In poor countries a mother’s death leaves her newborn at great risk of dying as well.

Experts say that what kills many women are “the three delays” — the woman’s delay in deciding to go to the hospital, the time she loses traveling there and the hospital’s delay in starting treatment once she arrives. Only about 15 percent of births have dangerous complications, but they are almost impossible to predict.

A Medical Emergency
A case in the Tanzanian city of Moshi late last year reveals how suddenly a seemingly normal labor can turn into an emergency in which every second counts. Hawa Khalidi, 36, who had five normal births, gave birth to her sixth child a few hours before dawn on Nov. 19 at a health center staffed only by nurses in one of the poorer sections of the city.

Then she began to hemorrhage, and by daybreak she was dead.
An autopsy found that Mrs. Khalidi bled to death because the nurse who delivered her baby failed to perform one basic task, essential to prevent deadly bleeding: removing the placenta after she gave birth.

Normally, pulling on the umbilical cord will extract the placenta. But the autopsy revealed that the cord broke off. The nurse apparently did not know how to reach into the womb to remove the placenta. She sent Mrs. Khalidi to a hospital, but by then Mrs. Khalidi had lost so much blood that doctors could not save her.

In an interview, Mrs. Khalidi’s husband said nurses at the clinic had scolded her because she was too poor to bring her own “delivery kit” containing gloves, clamps and other supplies. Some maternity wards are so crowded that women sleep two or three to a bed, or lie on the floor, along with their newborns. Although the government has promised to build more clinics and to put one within three miles of every village, it cannot even fully staff the clinics it already has. Health workers — overworked, underpaid and sometimes poorly trained — often become demoralized and resigned to the high death rates.

Women lack education and information about birth control, and some become pregnant too young to give birth safely. Husbands and in-laws may decide where a woman gives birth and insist that she stay at home to save money. Malnutrition, stunted growth, malaria and other infections, anemia

In rural areas, many women use traditional birth attendants instead of going to the hospital. The attendants usually have no formal training in medicine or midwifery. Many doctors blame them for high rates of maternal death and complications, saying they let labor go on for too long, cannot treat complications and fail to recognize emergencies that demand hospital care. But many women are loyal to them. For one thing, the price is right. Around Berega, they charge about $2 per birth. A normal birth at the hospital costs about $6, an emergency Caesarean $15.

Dr. Jeffrey Wilkinson, an obstetrician from Duke University who is working at the Kilimanjaro Christian Medical Center in Moshi, pointed out that other African countries, like Niger, had even higher maternal death rates. Despite the many obstacles in Tanzania, “there is hope here,” he said.

A Hospital’s Shortages
Even though it serves an area with about 200,000 people, the hospital in Berega has no obstetrician or pediatrician. It has only one fully trained doctor, Dr. Paschal Mdoe, 31, who became the medical director in August, fresh out of medical school.

Like most hospitals in Tanzania, the one in Berega tries to compensate for the doctor shortage by relying on assistant medical officers like Mr. Makanza to perform many Caesareans and a few other relatively simple operations like hernia repairs. Although such assistants eventually become quite adept in such operations, most other countries do not recognize their credentials and so do not try to lure them away, a big plus for Tanzania, which loses doctors and nurses to Botswana and other countries that pay more.

Periodically, visiting surgeons repair fistulas, a severe childbirth injury that causes incontinence in the mother. Other outside experts like Dr. Wilkinson have also taught staff members how to resuscitate newborns and treat obstetrical emergencies like hemorrhages and severe high blood pressure.
 
Da mkuu hii makala inasikitisha sana aisee..Sijui kama hii kitu ya Millenium Development Goals itatimizwa Tanzania hata ifikapo mwaka 3000 kama system ya uongozi tuliyonayo itakuwa ya sampuli ya Kikwete.Hivi inaingia akilini mtu kusimama kuwaambia WANANCHI kuwa ziara yako imetoa matunda ya kupewa msaada wa vyandarua vyenye thamani ya MILIONI 70?
Hivi KIKWETE anapotuwakilisha huko nje ya nchi huwa anazungumzia MAENDELEO Yapi jamani Yaliyopo nchini??????? Manake ningekuwa mimi Rais ningeenda hata na makobazi kureflect hali halisi niliyoacha kwa wananchi wangu badala ya kuvaa suti kutoka Italy na kufikia Hotel wanazoenda Honey moon mastaa wa Hollywood
Kweli serikali ina matumizi haina hasara nimeamini.TUNAUZA NG'OMBE TUNAPATA NAULI YA KWENDA THEN TUNARUDI NA SIMBILISI.
Wanajamii mnaona tulivyo GENIUS?????
 
Kuondoa tatizo hili ni kuhakikisha kila kijiji kuna kituo cha afya ambacho kina maternity room na wodi ndogo na hili kwa uwezo wa TZ inawezekana isipokuwa kwamawazo ya akina makamba, kingunge, chenge, haitawezekana.
 
Jamani Pliiiizzzzzz mnafanya machozi yananitoka hapa, hivi huyo mganga aliyeturoga ameshafariki!!!!! . Wa Tanzania kama tumelogwa kwa kweli.

Ila on the other side si ni hao hao ndo asilimia 80 ya wapiga kura?, Nadhani wanapata walichokichagua!!, hao hao ndo wanapewa hongo za kanga na pilau na kuuza maisha na utu wao, leo wanalalamika. Mie nikienda kugombea ubunge nitawaambia UKWELI, kama wataelewa poa kama hawataki waendelee kuteseka.

We unafikiri kweli watu wenye uwezo na wanaoweza kupambanua mambo waliipigia kura CCM kweli?, nakumbuka mwaka 2005 dada mmoja nilimuuliza utamchagua nani kwenye urais?, akaniambia kuwa atamchagua JK, nilipomuuliza sababu akaniambia ni HANDSOME. Frankly sikuona tatizo na uamuzi wake wa kumchagua JK ila sababu ilikuwa WRONG.

Hayo ndo maisha waliyochagua!!
 
Elimu iliiuwa Tanzania.Vijijini watu hawajui lolote.Picha ya Temeke ni very sad story.
How comes Nchi kama nchi inaruhusu mama wajawazito kuwa katika situation hii?
Hatuhitaji wafadhili kutununulia vitanda!EPA,Twin Towers,Richmond ,etc!Pesa hizi zote zinatosha kabisa!Oh my God!We are cursed.
 
Hivi baadhi yenu mmejuiliza nini hasa nyuma ya mipango hii ,kuwekwa kina mama chini?binafsi naimani ni mbinu za makusudi zilizopangwa ili misada zaidi ya fedha ipatikane kutoka mataifa ya nje na mashirika .binafsi sioni aibu yeyote badala yake najisifia viongozi wetu kwa kuwa wajanja katika kupata pesa za wahisani kulinganisha na nchi nyingineza kiafrika.
 
Hivi baadhi yenu mmejuiliza nini hasa nyuma ya mipango hii ,kuwekwa kina mama chini?binafsi naimani ni mbinu za makusudi zilizopangwa ili misada zaidi ya fedha ipatikane kutoka mataifa ya nje na mashirika .binafsi sioni aibu yeyote badala yake najisifia viongozi wetu kwa kuwa wajanja katika kupata pesa za wahisani kulinganisha na nchi nyingineza kiafrika.

Kama huo ni ujanja, basi ujanja mwingine ni matusi na ufukara wa mawazo kwa yeye ajiitaye mjanja.
 
Kama huo ni ujanja, basi ujanja mwingine ni matusi na ufukara wa mawazo kwa yeye ajiitaye mjanja.

Ndio pale niliposema baadhi yenu mnafikiri kabla ya kutowa maoni?kwani Viongozi wetu hakuna shem au matusi inapofika kupita kila taifa na kuomba omba hata magazetu yetu hufurahi na kutowa maelezo kama vile USA wamwaga madolla kwa Tz nk,kama vile watowaji wamekuwa nazo nyingi na sasa wanatumwagia Tz kwa wingi wake ,hapa nitamnukuu Jk katika mkutano mmoja aliwambia wahisani (wazungu) kuwa ni wajibu wao kutusaidia .
 
Ndugu Wanajamii Forum

Naomba nitume habari hii jinsi Naomi Campbell alivyojionea aibu yetu kubwa ya kushindwa kuwapatia akina mama wazazi wodi zinazofaa wakati na baada ya kujifungua. Aibu hii ilinipata sana Mwezi wa tano mwaka huu nikiwa Marekani pale Raisi Kikwete (sio Rais kama tulivuozoea kusema na kuandika) alivyotembelea Marekani kwani Gazeti la New York Times lililluwa na makala maalumu kuhusu hali hii mbaya ya hospitali zetu hasa ile ya Mawenzi mwanafunzi mwenzangu kutoka Italia alinieleza na kuendelea kuniuliza kuhusu hali hii ya aibu sikuwa na jibu lolote lile la kumujibu kwani ninafahamu gharama ya msafara wa Raisi unatosha kabisa kuwapatia akina mama zetu wodi nzuri za kujifungulia. Vipaumbele vya serikali yetu na ukondoo wa wananchi ndio unasababisha aibu kama hii kuendelea kutupata.
Asante sana
Rugemeleza

Unapoteza muda wako bure kumshutumu Rais na Serikali kwa mambo yaliyo wazi kama haya. Wee fanya uliwezalo kwa namna yako mwenyewe kupunguza dhiki kama afanyavyo Emmanuel Mukanza.
 
Hivi baadhi yenu mmejuiliza nini hasa nyuma ya mipango hii ,kuwekwa kina mama chini?binafsi naimani ni mbinu za makusudi zilizopangwa ili misada zaidi ya fedha ipatikane kutoka mataifa ya nje na mashirika .binafsi sioni aibu yeyote badala yake najisifia viongozi wetu kwa kuwa wajanja katika kupata pesa za wahisani kulinganisha na nchi nyingineza kiafrika.

labda useme kupata pesa za kufanyia kampeni za uchaguzi.
 
Hivi baadhi yenu mmejuiliza nini hasa nyuma ya mipango hii ,kuwekwa kina mama chini?binafsi naimani ni mbinu za makusudi zilizopangwa ili misada zaidi ya fedha ipatikane kutoka mataifa ya nje na mashirika .binafsi sioni aibu yeyote badala yake najisifia viongozi wetu kwa kuwa wajanja katika kupata pesa za wahisani kulinganisha na nchi nyingineza kiafrika.

kwa miaka 40? lini wataacha sasa?
 
Eh moyo unaniuma, damu inanichemka kuona akina mama wenzetu wanavyopata tabu. Mungu tunakuomba msaada wako kwa kila jambo Amin

It's a shame kwa serikali yetu kwa mambo kama haya.

Mimi huwa nashangaa na kujiuliza hivi hawa viongozi wa serikali wanapofanya ziara kwenda nchi za wenzetu na kuona miji ya wenzetu inavyopendeza misafi na kutulia na wanavyopenda nchi zao na kuthamini wananchi wao - hawa viongozi wetu hawaoni aibuuu?

Kwetu imekuwa vice versa - wanathamini foreigners than mzalendo mwenyewe. Wakati nchi za wenzetu wananchi wao ndio first priority than foreigners.

It is high time we need changes very soon. Hatuna haja ya chama tunahitaji maendeleo ya nchi yetu jamani we are tired of ......!!!!!
 
Suala siyo kuona picha hapa JF. Hakuna mtanzania aliyeko ndani asiyejua adha wanayopata akina mama na watoto ktk issues za uzazi na afya kwa ujumla.

Kinacho takiwa sasa ni kujitahidi ktk vijiji vyetu, mitaa yetu, makazini, tuwe na vituo vya afya ambavyo vinaewza kuhudumia wajawazito na watoto, hii itapunguza msongamano ktk hospitali za wilaya.

Hapana Magezi...

Viongozi wa nchi hii wanakerwa sana wanapokuwa published kwenye vyombo vya habari vikubwa, na wako tayari kukanusha kwa gharama yoyote!

Macho wanayo, wanaona kila siku mitaani JINSI wananchi wanavyotaabika na kuzalia mabarabarani, lakini haiwagusi...!

Labda picha zitawafanya wazindukane na kujua kwamba ishu imekuwa ishu!

Naonge a hivyo kwa uchungu, maana kwa hali ya afya nchini ilivyo, ni botra kutumia kila njia mbadala iliyopo usoni!
 
Kuondoa tatizo hili ni kuhakikisha kila kijiji kuna kituo cha afya ambacho kina maternity room na wodi ndogo na hili kwa uwezo wa TZ inawezekana isipokuwa kwamawazo ya akina makamba, kingunge, chenge, haitawezekana.

Muheshimiwa Magezi, Tatizo si majengo wala vyumba. Tanzania kwa hilo tupo mbali kidogo, karibu kila kijiji au vijiji 2 kuna jengo la kituo cha afya. Tatizo ni upatikanaji wa huduma kwenye hivyo vituo. Huduma ni duni kwa sababu

1. Hakuna wataalamu wa afya wa kutosha na pale ambapo wapo hiko vijijini wengine hujishughulisha zaidi na mambo yao binafsi k.m kulimisha mashamba, biashara nk. wakiwaacha wananchi wakiteseka.

2. Upatikanaji wa vifaa pamoja na madawa. Majengo ya zahanati na vituo vya afya yapo ambayo ama yalijengwa kwa nguvu za wananchi, au serikali au wahisani, lakini dawa na vifaa vya kutolea huduma hakuna. Dawa chache zinazopelekwa huko nyingine huuzwa kwa watu binafsi na watumishi wa vituo hivyo.

3. Kuna Zahanati zilizobahatika kupata majengo, vifaa, maji na hata umeme wa mionzi ya jua. Hakuna ukarabati matokeo yake wazazi hutakiwa kwenda na maji na vibatari kwenye kituo cha afya.
 
Wakati mada hii ikiwa bado moto moto JK keshapaa zake kuelekea Italia kutembeza Bakuli baada ya jana kutumbuizwa na Yssour N'dor na Angelique K,djo pale Mlimani City... Kweli Mchawi aliyetuloga ameshakufa...
 
Ndugu Wanajamii Forum

Naomba nitume habari hii jinsi Naomi Campbell alivyojionea aibu yetu kubwa ya kushindwa kuwapatia akina mama wazazi wodi zinazofaa wakati na baada ya kujifungua. Aibu hii ilinipata sana Mwezi wa tano mwaka huu nikiwa Marekani. Vipaumbele vya serikali yetu na ukondoo wa wananchi ndio unasababisha aibu kama hii kuendelea kutupata.
Asante sana
Rugemeleza
Asante Rugemeleza, facts are sturbon things, hii sio aibu, its a fact ndio reality facing kinamama wetu. Jee ni aibu kwa vile Naomi kaona chozi likamtoka, ama ni aibu kwetu sote Watanzania kuendelea kuwaaminia watu wale wale waliotufikisha, huku tukiendelea kuwaimbia nyimbo za shangwe na mapambio mwaka hadi mwaka?.
 
Sasa kama una Wasukuma wako huko Bulyanhulu na Mwadui wananyang'anywa almasi zao na dhahabu zao bila kulalama na wanapoambiwa Chenge amekwiba wanakataa sisi wa Dar tufanyeje? Hivyo vitanda na nyumba za kulala Wajawazito kwa Wasukuma ni luxury! kama wao wa huko kwao wananyang'anywa mashamba yao yenye dhahabu wanabaki kimya na Mibunge yao inawalisha uongo wa kuwapumbaza! Sisi tufanye nini? Hivi jamani mshafika hiyo mitaa ya huko migodini? umeme upo unapita juu ya vijiji ila ni kwa ajili ya migodi tu vijijini hamna barabara wala maji wala umeme kuna ukimwi tu na nina uhakika CCM itashinda majimbo yote mwakani ! Huko Usukumani kuna walakini jamani vijana waelimisheni wazee wenu! naomba Msukuma abishe hapa maana nilishangaa nimefika Moshi na Arusha pia na sijaona rasilimali kama zilizopo Shinyanga, Nzega na Mwanza ila hata kama zingekuwepo nathani wasingekubali kuonewa vile. Jamani Wasukuma acheni kulala igeni ubishi wa watu wa Tarime!
 
Back
Top Bottom