Aibu ya Mwanajeshi wa Marekani Apakatwa, Anyonywa Ndimi na Mwanaume Mwenzake

Jamani hivi kweli tunashangaa kiukweli au tunapotezea? Mbona hata kwenye makambi yetu Tz haya mambo yapo na wanajulikana kwa majina? na tuanze kwa kutoa boriti kwenye jicho letu kwanza

Hapo penye red nakushauri kama unawataka wakijeshi nenda pale Mwenge junction ya Lugalo na Ubungo halafu simama pembeni then ukiona wamejazana kwenye basi wanapita wee konyeza yeyote halafu rudi hapa utuelezee utakachokipata

Asante kwa ushauri ngoja nikirudi mjini nitafuatilia, kwa sasa niko porini kwenye mazoezi makali ya kuikomboa Tanganyika yetu.
 
Sasa uyo amekuwaje mwanajeshi maana kwa JWTZ ukiwa shoga wanakupiga chini sijui wenzetu uko!
Ila kuyadiscuss haya mambo naona ni kama tunayasupport ni kheri tukiwa twayapotezea tuu!
 
Nimeamini mwisho wa dunia umekaribia wanaume wanaoana hatari hatari jamani naomba watanzania tusiige hii na tusikubali kabisaaa!!!!
 
Back
Top Bottom