Aibu ya Mwanajeshi wa Marekani Apakatwa, Anyonywa Ndimi na Mwanaume Mwenzake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu ya Mwanajeshi wa Marekani Apakatwa, Anyonywa Ndimi na Mwanaume Mwenzake

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 1, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Mwanajeshi wa Marekani akiliwa denda na mwanaume mwenzake[/TD]
  [TD]Wednesday, February 29, 2012 2:51 AM
  Picha ya mwanajeshi wa Marekani aliyetoka kwenye vita vya Afghanistan akikaribishwa Marekani kwa kunyonyana ndimi na mwanaume mwenzake huku akiwa amepakatwa imekuwa gumzo duniani.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mwanajeshi huyo mwenye cheo cha Sajenti aliyejulikana kwa jina la Brandon Morgan aliruka na kutua kwenye kifua cha mpenzi wake mwanaume mwenzake na kumkumbatia na kuanza kunyonyana ndimi live live bila chenga.

  Tukio hilo lilitokea nchini Marekani wakati wa sherehe za kuwakaribisha nyumbani wanajeshi wa Marekani waliokuwa wakipagana vita dhidi ya Taliban nchini Afghanistan.

  [TABLE="width: 724"]
  <tbody>[TR]
  [TD][​IMG]

  Picha ya mwanajeshi wa Marekani aliyetoka kwenye vita vya Afghanistan akikaribishwa Marekani kwa kunyonyana ndimi na mwanaume mwenzake huku akiwa amepakatwa imekuwa gumzo duniani. Gonga World News kwa habari zaidi.[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
  Picha ya sajenti Morgan akiwa amemdandia mpenzi wake wa kiume akinyonyana naye ndimi imekuwa gumzo kubwa sana duniani.

  Sajenti Morgan ambaye ni mkazi wa California hajakasirishwa na kusambaa kwa picha hiyo na badala yake amewashukuru baadhi ya watu waliompongeza na kuwatakia maisha mema yeye na mpenzi wake wa kiume.

  Sheria ya Marekani ya kupiga vita ushoga na usagaji ilifutwa miezi mitano iliyopita hivyo kuwapa nafasi mashoga na wasagaji kujitangaza wazi bila woga.

  Angalia picha ya sajenti Morgan akinyonyana ndimi na mpenzi wake ambaye ni mwanaume mwenzake[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]

  MAMBO YA DAVID CAMEROON YAPO MPAKA AMERIKA? KASHESHE KWELI DUNIA YETU HII
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [h=1]Rowan Williams: Gay Marriage Wrong Because It Imposes Cultural Change[/h][h=5]BY CARLOS SANTOSCOY
  PUBLISHED: FEBRUARY 29, 2012[/h]


  Rowan Williams, the archbishop of Canterbury and head of the Church of England, has criticized an effort to legalize gay marriage in Britain, arguing it would impose cultural change.
  The UK's Conservative Party last September unveiled plans to make gay nuptials legal in Britain before 2015. The Conservative Party, Britain's largest political party, governs in coalition with the Liberal Democrats. Prime Minister David Cameron, who helms the Conservative Party, supports the move.
  Great Britain currently recognizes gay and lesbian couples with civil partnerships, which offer most of the legal protections of marriage.
  In a major speech on human rights to a World Council of Churches gathering in Geneva, Williams sided with other leading clergy who have launched a campaign to derail the government's plans.
  "Law must prohibit publicly abusive and demeaning language, it must secure institutions that do not systematically disadvantage any category of the community,"Williams told colleagues. "But these tasks remain 'negative' in force. If it is said, for example, that a failure to legalize assisted suicide &#8211; or indeed same-sex marriage &#8211; perpetuates stigma or marginalization for some people, the reply must be, I believe, that issues like stigma and marginalization have to be addressed at the level of culture rather than law, the gradual evolving of fresh attitudes in a spirit of what has been called 'strategic patience' by some legal thinkers."
  Williams, who as leader of the Church of England is the spiritual leader of the Anglican Communion, of which the Episcopal Church is the American branch, has previously protested the American church's increasingly liberal attitude toward the issue of gay marriage.
  The government is expected to release a consultation document detailing its plans on the law in March.

  source. Rowan Williams: Gay Marriage Wrong Because It Imposes Cultural Change
   
 3. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  masikini weee kajiachie mwenyewee...alivyo jibenuaa 2 mmmh!!
   
 4. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Ushoga ni upunguani, wehu na wendawazimu. Wanyama wasiokuwa na tafakuri hawafanyi mambo haya inakuwaje kwa mwanadamu?
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Loh! mwenyezi mungu atustiri tena yuko na nguo za kazini....
   
 6. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Jeshi la Marekani rimeruhusu Mashoga na wasagaji kujiunga nalo.so sio tatizo kwao kufanya haya
   
 7. Rada

  Rada Senior Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Du sipati picha hawa jamaa wanavyofeel, hakyanani dunia kwishney! :shock:
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mhh ... napita
   
 9. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwaraha zao
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ptuuuuuuuuuuuuuuuup!
   
 11. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  yaliyonenwa na kutabiriwa sasa yanatimia...
   
 13. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Why should we care? Leave them alone. Gay people existed even before the holly books. O/w if you are too curious of what they are doing, join them and give us the feed back.
   
 14. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Subuhannalah!
   
 15. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Dah!!! kichefuchefu....
   
 16. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Ewww! cheki huyo mwenye nguo ya jeshi kama shosty..!
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ni shosti!
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  astakafirullah!
   
 19. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Huyu aliye pakatwa anafukuliwa amefrahi kumwona basha wake
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mmoja hapo ni punga, inaonyesha harufu ya kinyesi ni nzuri kwao.
   
Loading...