Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hivi hii serikali ya ajabu sana si walisema wamepeleka trillion 1 kwa ajili ya dawa Leo waziri mkuu anadai ni billion 90 hadi DEC 2016. Na kila mwezi wanapeleka milioni 20 kwa kila halmashauri kwa ajili ya dawa. Si aibu hii.
Sasa nani yuko sahihi kati ya waziri wa afya, makamu wa rais au waziri mkuu.
Source ITV habari
Sasa nani yuko sahihi kati ya waziri wa afya, makamu wa rais au waziri mkuu.
Source ITV habari