Aibu Tupu

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Aibu tupu kwa Kanisa Kubwa Duniani kujihusisha na uchafu huu...

Pope's Pedophilia Apology 'Not Enough'

Before he even arrived in the US, Pope Benedict XVI apologized for the pedophilia scandal that has rocked the Catholic Church there for the last four years. But German commentators say that more needs to be done.

AFP​
The pope said he was "deeply ashamed" about the child sex scandal in the US Catholic Church.

Even before the airplane carrying Pope Benedict XVI on his first visit to the US as pontiff touched down in Washington, the former Cardinal Joseph Ratzinger had addressed the issue which has done untold damage to the Catholic Church in the US. The pope told reporters he was "deeply ashamed" of the child sex abuse scandal that had rocked the US Catholic church. "It is a great suffering for the church in the United States and for the church in general and for me personally that this could happen," Benedict said. "It is difficult for me to understand how it was possible that priests betray in this way their mission ... to these children."
The child sex abuse scandal in the US Catholic Church first came to light in 2002. Since then the church has paid out $2 billion in compensation settlements to victims.
During the flight to the US, Benedict pledged there would be no repeat of the scandal, saying pedophiles would be kept out of the priesthood. "I am deeply ashamed and we will do what is possible so this cannot happen again in the future," he told reporters.
The pope made the remarks on Tuesday just hours before he arrived in the US for a six day tour that includes meetings with political and religious figures, an address at the United Nations and a visit to Ground Zero.
German commentators welcomed the pope's frank apology in Thursday's newspapers.

The World From Berlin: Pope's Pedophilia Apology 'Not Enough' - International - SPIEGEL ONLINE - News
 
Sasa ndugu yangu bongo, hii thread unaiweka hapa ili iweje? mbona unaiweka kichochezi? Hivi ni kanisa linajihusisha au baadhi ya watumishi wa kanisa? Hivi Pope amefanya kitu kibaya kuapoligise on bahalf of the Catholics?

Mods - angalieni thread za aina hii kabla watu hatujapandisha mizuka hapa
 
Kamanda, kwanini upandwe na mzuka kwa maandishi kwenye thread tu?... je kwenye mkongamano wa ana kwa ana na unaowapingana nao si ndo itakuwa hatari?!
 
"kanisa kubwa duniani" kwa mantiki gani?!

kwa mantiki ya kuwa na waumini zaidi ya makanisa mengine yote na mipesa mingi zaidi ya makanisa mengine yeyote, nipo tayari kusahihishwa kwa hili
 
Kamanda, kwanini upandwe na mzuka kwa maandishi kwenye thread tu?... je kwenye mkongamano wa ana kwa ana na unaowapingana nao si ndo itakuwa hatari?!

Hii heading ''Aibu tupu kwa Kanisa Kubwa Duniani kujihusisha na uchafu huu...'' inakera sana! mtoa hii thread ilitakiwa awe specific sio kugeneralise, hawa wenyewe ukiwagusa kidogo huwa wana matata sana re. thread ''Shekh afumaniwa akibaka mwanafunzi'' then atujua why sipendi hii kitu iende mbal!

Kwanza kama mods hawataki kuifunga waipeleke kwenye DINI/IMANI
 
La si hivyo, kama uonavyo hapa hutolewa hoja na habari mchanganyiko kwa dhumuni la kuhabarishana tu, Jee hao spiegel walioitowa habari hii (follow url) walikuwa wakichonganisha? nadhani hapana, walikuwa wakihabarisha tuu, nami katika kuambaa-ambaa mtandaoni, nikakutana na hii habari na nikaona niwahabarishe wana-jamii wenzangu. Sijui kama pope kafanya vizuri au vibaya, hiyo ni debatable.
 
Last edited by a moderator:
La si hivyo, kama uonavyo hapa hutolewa hoja na habari mchanganyiko kwa dhumuni la kuhabarishana tu, Jee hao spiegel walioitiwa habari hii (follow url) walikuwa wakichonganisha? nadhani hapana, walikuwa wakihabarisha tuu, nami katika kuambaa-ambaa mtandaoni, nikakutana na hii habari na nikaona niwahabarishe wana-jamii wenzangu. Sijui kama pope kafanya vizuri au vibaya, hiyo ni debatable.

Na hapa ulikuwa unamjuza nani?

Aibu tupu kwa Kanisa Kubwa Duniani kujihusisha na uchafu huu...

Pumbafu!!
 
Hii heading ''Aibu tupu kwa Kanisa Kubwa Duniani kujihusisha na uchafu huu...'' inakera sana! mtoa hii thread ilitakiwa awe specific sio kugeneralise, hawa wenyewe ukiwagusa kidogo huwa wana matata sana re. thread ''Shekh afumaniwa akibaka mwanafunzi'' then atujua why sipendi hii kitu iende mbal!

Kwanza kama mods hawataki kuifunga waipeleke kwenye DINI/IMANI

Hiyo tena isikustuwe kabisa hebu soma heading hii, halafu itarjimu ki-swahili uone unakujaje:

The pope said he was "deeply ashamed" about the child sex scandal in the US Catholic Church
 
Sawa NL, lakini hiyo si heading aliyoanza nayo. Ni ujumla unaojitokeza baada ya kusoma maoni yake.
 
Hiyo tena isikustuwe kabisa hebu soma heading hii, halafu itarjimu ki-swahili uone unakujaje:

The pope said he was "deeply ashamed" about the child sex scandal in the US Catholic Church

We bwana acha mambo yako ya uchochezi...tena hapo Pope anazungumzia US Catholic church, wewe umekuja na kanisa kubwa DUNIANI huoni tofauti hapo?
 
We bwana acha mambo yako ya uchochezi...tena hapo Pope anazungumzia US Catholic church, wewe umekuja na kanisa kubwa DUNIANI huoni tofauti hapo?

Hayo ndio ya kushangaza, US catholic? jee kuna lingine Africa catholic? na lingine Asia catholic? na lingine Europe catholic? na lingine rest of the world catholic? hebu tupe somo kidogo na jee, hayo yote yana makao yake makuu vatican kwa papa? au yote yako kivyake vyake? mnhh...
 
Back
Top Bottom