AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

Ukisikia ubalozi wa Tanzania usa usifikirie wote ni watanzania, ma ofisa wa juu tu ndiyo wa Tanzania, wengine lazima wawe wazawa wa nchi husika, ndiyo maana hapa kuna wa Tanzania wanafanya kazi ubalozi wa usa, fanya utafiti sana kabla ya kuweka uzi hapa mshamba wewe.
Wazawa wanakuwa madereva manake wanaijuia mitaa Balozi, naibu balozi na ma secretary wao first secretary Afisa uhamiaji, wazawa wataajiriwa tu kama ubalozi husika unafanya miradi ya maendeleo huu ni ujinga ukifika nchi za kiarabu umepata tatizo unakwenda ubalozini kwako unakuta waliopo hawajui kiswahili wala kingereza na wewe unashida tembea uone mshamba ni wewe mbwa we
 
Kwahiyo balozi wa Tanzania huko uarabuni hajui kiswahili? Kapime akili yako punguani wahed
 
Kwahiyo balozi wa Tanzania huko uarabuni hajui kiswahili? Kapime akili yako punguani wahed
Akitokea raia wa nchi ya kigeni amepata matatizo hapa Tanzania afisa ubalozi anafika eneo la tukio ndani ya saa kumi na mbili kama ni polisi, hosipitali nk atakuuliza maswali unatokea wapi kwa lugha wanaoimudu vyema hapa Tanzania kuna afisa mmoja ubalozi wa malawi yeye kila siku yuko uhamiaji anawafatilia ndugu zao waliokamatwa kwa kuishi bila vibali ni wa tz wangapi wanakufa nchi za nje wanafanyishwa ukahaba wakienda ubalozini wanakuta watumishi ambao hawaelewani kimawasiliano ...utatumia lugha gani kumwambia nataka nimuone afisa mwandamizi ....mbwa wa kike wewe
 
Wazawa wanakuwa madereva manake wanaijuia mitaa Balozi, naibu balozi na ma secretary wao first secretary Afisa uhamiaji, wazawa wataajiriwa tu kama ubalozi husika unafanya miradi ya maendeleo huu ni ujinga ukifika nchi za kiarabu umepata tatizo unakwenda ubalozini kwako unakuta waliopo hawajui kiswahili wala kingereza na wewe unashida tembea uone mshamba ni wewe mbwa we

Kwahiyo balozi wa Tanzania huko uarabuni hajui kiswahili? Kapime akili yako punguani wahed

Yaani nyie wadau mnaanza kurushiana lugha chafu ili?
 
Umesaidia kuelewesha.Nilishtuka kidogo kwa mleta Uzi.Mbona ukiwa una safari ya nje unapokwenda kuchukua visa mbona wabongo wameajiriwa na michakato ya kukupatia visa wewe msafiri wanashiriki?Hata ubalozi wa Marekani watanzania wameajiriwa,nenda ubalozi wa India wapo kibao.
Labda angesema wafanyakazi kwenye ubalozi huo ni wachache waongezwe,lakini kuwakuta washona na waongea kiswahili si tatizo,angeuliza kwanza taratibu za ajira ndio aje humu jamvini.
Nashukuru kwa comment yako kwa mtoa mada ili apate ufahamu kuhusu Balozi mbalimbali duniani.

Kama issue watumishi wachache aseme direct sio kuwa kakuta washona wakifanya kazi wakati huko ni kwao na ujio wa ofisi za kibalozi nchini mwao ni ongezeko la nafasi za ajira kwa wazawa.
 
Hamna tatizo hapa, kama alivosema mdau mmoja hapo juu, ni suala la kubana matumizi, huwezi kumchukua receptionist DSM umpeleke Harare, gharama ni juu kuliko ukimchukua Mshona wa pale pale! Ukija DSM jaribu kutembelea balozi mbili tatu ujionee, majuzi nilikuwa ubalozi wa India (Shaban Robert St, opp na JKNICC), shida yangu ilishughulikiwa na watu 6, na wote wa Tanganyika!
 
Kila MTU ni kulalamika tu! Anayechukua hatua kufanya lolote? Hakuna! Mkiambiwa fanyeni kazi! Mnasema tunaonewa! Haha hii nchi utafikiri wote ni walemavu! Wanataka wakae tu kila kitu kije chenyewe!
 
Wewe NI walewale wajinga ulidhani natumia dictionary kuandika...mada muhim unaleta utani
Sio utani kweli kiswahili unacholilia hukijui shame on u. Sheria za ajira katika nchi nyingi duniani zinalazimisha nafasi kadhaa ambazo sio nyeti ziende kwa wazawa wa nchi uliyofungulia ofisi au uwekezaji.

Kwa mfano dereva receptionist walinzi n.k ni lazima watoke kwenye nchi enyeji.

Lakini pia ni kubana matumizi kwa mfano ukimtoa mfanyakazi Tanzania kumpeleka nchi nyingine anatakiwa alipiwe nyumba na vibali vya kuishi na kufanya kazi. Kumpata raia wa nchi husika itapunguza gharama hizo kuna nchi zingine gharama za nyumba na vibali vya kufanya kazi ni za juu sana.

Pia kuna balozi nyingi sana za nje hapa kwetu walinzi receptionist madereva wahasibu n.k ni watanzania ambao hawajui lugha asilia za nchi yenye ubalozi.

Unashangaza kutoa mada kwa lugha kali isiyo na lazima kwa jambo jepesi linaloeleweka. Pole sana!
 
Achana nae, mwananume mzima anaenda kufanya kazi za ndani Uarabuni? Si bora uuze chips hapa bongo? ?
Kama ungekuwa karibu yangu ningekuchapa makofi nilikuwa nchi fulani nikapata ajali nilipopata fahamu nikajikuta niko hosipitalini kwa usimamizi wa polisi hapo kwenye ajali nimepoteza pp askari wale hawajui kingereza nilichowambia ni tanzania kulikuwa na mgonjwa jirani anajua kingereza cha kutupia tupia ndio akawa mkalimani muda ule walipiga simu ubalozini ambapo ilipokelewa na watu wanaojua neno la kiswahili habari tu kingereza chenyewe pia ni neno moja moja tulishindwa kuelewana wakakata simu ikabidi nipige namba ya tanzania wizara ya kigeni ndo warudi kunitafutia afisa mzawa ambaye naye alinitembelea ila hawa maafisa wakubwa wanakuwa na mambo mengi ya kisiasa kwa hiyo sikupata msaada mzuri ......kama uko tayari ni pm ntakulipia nauli uende moja ya nchi matembezi halafu utayoyakuta uje u comment...kwanza unaweza ukaenda ubalozini kwako ukatiwa ndani kisa hamuelewani mawasiliano hebu think big idiot kwanza aliyekwambia mi ni mwanaume nani mbwa wewe
 
Pole sana mkuu, unaenseleaje sasa?
 
Balozi za Tanzania nyingi ni njaa tupu, mabalozi wengi wana njaa na wamechoka kinyama. Ni kama wako kifungoni, wengine wameishia kuwa walevi wakubwa na wapenda ngono zembe.
Unaweza ukafika ubalozini ghafla ukakuta watu wanapigana pipe mchana kweupe.
 
Wapo busy na uchumi wa viwanda, baada ya kupata mafanikio makubwa kutoka kwa yule mdudu aitwae BRN
 
Umesaidia kuelewesha.Nilishtuka kidogo kwa mleta Uzi.Mbona ukiwa una safari ya nje unapokwenda kuchukua visa mbona wabongo wameajiriwa na michakato ya kukupatia visa wewe msafiri wanashiriki?Hata ubalozi wa Marekani watanzania wameajiriwa,nenda ubalozi wa India wapo kibao.
Labda angesema wafanyakazi kwenye ubalozi huo ni wachache waongezwe,lakini kuwakuta washona na waongea kiswahili si tatizo,angeuliza kwanza taratibu za ajira ndio aje humu jamvini.
Mkuu tatzo sio washona tatizo kutokuwa na wazawa hata mmoja assume umeenda hujui kkingereza watakufanya nini?aiseee
 
Vipi walikuambia wao ni miongoni mwa delegation iliyotumwa na serikali? Au walikwambia wapo pale kwa position gan na profession IPI? Au kwa kuwa uliwakuta ndani ndo ukapigia mstari ni miongoni mwa wawakilishi wetu badala ya wahudumu? Embu itafute Vienna convention on diplomatic relations ya mwaka 1961, ipitie itakusaidia sana kila utembeleapo balozi zetu huko uendako mkuu
Mkuu nimekupata vyema kabisa,ngoja niitafute niipitie...
 
Mkuu,

Nchi ina Tatizo kila sehemu hatueleweki hasa what we care.

Viongozi wakishakuwa madaraka hawajali tena maslahi ya Nchi zaidi ya wao kujinufaisha.

Kiukweli unafika muda inakuwa ni aibu kuwa mwananchi wa Taifa kama hili.

Na haya mataifa yalishatusoma thus why wananchi wanaonewa sana katika nchi na hakuna kinachofanyika.

Sometime nawaza sijui kam tungepata UHURU kwa mtutu huenda kidogo tungekuwa na akili.

Nchi hii dah.
Kaka nahis kuichukia nchi yangu sana kwa mambo yanayofanyika
 
Back
Top Bottom