AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

nimeshawai kufanya kazi ubalozi wa marekani dar pale msasani...

wafanyakazi wamarekani ni wachache sana ukilinganisha na watanzania wapo zaidi ya 200..

mara nyingi raia wao wanafanya kazi za diplomasia tu na majukum makubwa..

ila support functions zote za ofisi zinafanywa na staff wazawa wa hiyo nchi kupunguza gharama..

maana ukimpeleka raia wako kule gharama za kumtunza ni kubwa kuliko kuajiri raia wa kule..

hata marekani wanafanya hilo kupunguza gharama



AIBU AIBU TUPU!HUU NI UJINGA NANI AIBU TUPU KWA TAIFA KAMA TANZANIA,
JANA NILITOKA SOUTH AFRIKA NIMESOGEA ZIMBABWE MARA MMOJA,NILIFIKA HARARE SAA TATU USIKU.

View attachment 474159
View attachment 474161


LEO ASUBUH NIMEAMKIA TOWN KWA ISSUE ZANGU,NILIPOMALIZA MIDA YA SAA SABA NIKAONA NGOJA NIKAUSALIMIE UBALOZI WANGU WA TZ HAPA HARARENILICHOKIKUTA WADAU NI AIBU, KIUKWELI NI AIBU KUBWA,WAFANYAKAZI WAWILI OFISI NZIMA,HAWAJUI KISWAHILI WANAONGEA SHONA NA ENGILISH,
WALINIKALIBISHA.

BASi si unajua ukiwa nje ya nchi yako ukifika ubaloz wako basi unajisikia furaha sana,maana ni kama uko nchini mwako.

Basi wadau nilivyofika nikawasalimia wale wadada,
HABAr zenu
Wakajibu fine..
Nilijua ni wabongo wenzangu bhana kumbe washona, hawajui KISWAHILI kabisa,
Wakaniambia HAWAJUI KISWAHILI hivyo nizungumze kingereza,
BASi ikabidi nianze kuzungumza nao kingereza.

KATIKA kuwauliza wale wadada wakaniambia pale OFISIn wako wenywe na watanzania Wa wawili pekee. KATIKA kufatilia nikakundua wanaowasema wawil ni viongoz wakubwa ambao mara nyingi hawatulii ofisini,
DUUUH!!Nimejiuliza maswali mengi sana nikiwa natoka,

Hivi kwanini ubalozi kama huu usiajili watanzania full? Hata kama ni wachache lakini wawe wanatoka nyumbani?

Kuna WATANZANIA wangap wanalia ajira huko?Kwanini ubaloz kama huu ushindwe KUWA na wazawa wakutosha ukizingatia ni nchi ambayo raia wetu kila siku wanakuja HAPA na ina watanzania wengi.

KWANINI lakini?
Hivi kweli mimi mtanzania nakaribishwa NA mzimbabwe ambaye hajui hata lugha yangu?huu ni ujinga...
Tena nasema ni UJINGA...huwezi kumwajiri mtu kwenye ubaroz asiyejua hata lugha yako....shame on you...tumekuwa wajinga kila mahali,
NASEMA UWAZI NCHI YANGU TANZANIA IBADIRIKE..NAdHAN KUNA baloz nyingi za kwetu zilizo nauzo kama huu,

Hebu zianikeni HAPA...waone madudu yao...HIVI KWELI MIMI MTANZANIA NIKIPATA TATZO NCHI YANGU ITANISAIDIA?KAMA BALOZI ZAKE ZENYWE HAZIJASIMAMA VILIVYO?

SHAME ON YOU!
SHAME ON YOU!
SHAME ON YOU MR M
SHAME SHAME SHAME!!!!!!!
 
Mimi sioni ajabu sana kwani kwa balozi karibia za Nchi zote huajiri watu tofauti za taifa husika ila cha msingi ni kuwa wakati wote Ofisini huwapo na Afisa wa Nchi husika kushuhulikia maswala hasa yale yanayo hitaji diplomasia kuliko taratibu za kawaida
Balozi za Ulaya hapa TZ zote zina watz japo sio kwa nafasi zile nyeti...zinazohusiana na utoaji VISA nk
 
Back
Top Bottom