Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana na kitablet kidogo cha kichina.jamani CCM mnashindwa nunua ipad kwa Television yenu???