aibu TBC!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana na kitablet kidogo cha kichina.jamani CCM mnashindwa nunua ipad kwa Television yenu???
 
siunajua tena mafisadi .ufisad umewakolea mpaka wanajifisadi wenyewe??
 
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana na kitablet kidogo cha kichina.jamani CCM mnashindwa nunua ipad kwa Television yenu???

kwani wanaotengeza tablets ni apple/ipad tu???
kwani una uhakika gani hiyo tablet ndogo 7" sio ipad?
ungesema wanunue tablet kubwa 10" lakini sio wanunue tablet ya ipad kwa kukariri !
 
hahaha, dah ama kweli msemo wa Mheshimiwa the boss kuwa jf is never boring.
Na hii ni thread pia.
 
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana na kitablet kidogo cha kichina.jamani CCM mnashindwa nunua ipad kwa Television yenu???

Wewe si ulikuwa unaitwa Rev. Masanilo? Iikuwaje tena Mkuu?
 
kwani wanaotengeza tablets ni apple/ipad tu???
kwani una uhakika gani hiyo tablet ndogo 7" sio ipad?
ungesema wanunue tablet kubwa 10" lakini sio wanunue tablet ya ipad kwa kukariri !

Ujuaji mwingine bana
 
TBC ni kmaa general anayeamini ushirikina badala ya mipango na mikakati, kumejaa siasa, unafiki, ushirikina and backwardness. Hakuna waredi pale ndio matokea yake, waone huruma watangazaji wanadhalilka sana
 
Wewe tu acha siri ya mtungi aijue kata, ni kwamba aliepiga bajeti kachukua chake, aliefanya procurement kachukua chake pale na alieuza nae kachuakua chake sasa tegemea nini baada ya huo mlolongo wote
 
Back
Top Bottom