Aibu!! Simba hawakupiga shoot lolote kwa hata offside opponent wao

Msiinange kihivyo timu yetu,mechi bado nyingi tutafuzu robo fainali.

Kundi letu timu zote zishafungwa hajabu nini kwa Simba yangu kufungwa au ndo ya kwanza kufungwa kwenye kundi!
Hatukatai kufungwa ni kawaida.....ila kwa timu Kama Simba ......kuchezewa mpira kizembe vile ..... possession 33%
 
Baada ya timu ya Simba SC "kukalishwa" (2-0) hapo jana na timu ya kawaida sana RS Berkane katika mechi iliyofanyika ndani ya mji wa Berkane, Morocco. Ipi ni tathmini yako juu ya mchezo huu?

Kwa jinsi wachezaji wa Simba walivyocheza siku ya jana, nadhani walivuka mstari wa kati ya uwanja si zaidi ya mara 10 au zaidi kidogo kwa dakika zote 90.

Hii ilinifanya nitupie jicho tofauti kidogo na watu wengine. Je, unahisi kuna hujuma kutoka kwa wapinzani wetu wa ligi? Namaanisha waliwahonga wachezaji wetu ili "wajikoseshe kulenga" pasi sahihi.

Hivi kweli Simba SC ni ya kupata takwimu hizi kwa mchezo wa Dk 90? Yani tupate 0 namaanisha "Zero" shorts on target?
Je, wewe unadhani kuna hujuma au kiwango chetu kidogo?

Sm.jpg


Sm.jpg
 
Back
Top Bottom