Aibu!! Simba hawakupiga shoot lolote kwa hata offside opponent wao

We unataka udharirishaji upi zaidi ya ule mliofanyiwa na Rivers utd timu ndogo kabisa barani Afrika? Hata goli la offside tu utopolo hakupata nyumbani na ugenini.Angalau simba bado ana nafasi ya kuja kujiuliza tena nyumbani kwa mkapa . Hapo ndipo utakapowataa hao Berkane kwamba siyo wenyewe jinsi watavyogeuzwa asusa.
Mwaka gani unaongelea.......
 
Pamoja na kuwa RS berkane wana historia nzur kwenye kombe la shirikisho ila simba mechi za ugenini hawajiamin kabisa wachezaji kipind cha kwanza wamecheza kiuoga Sana hawajiamin kabisa kipind cha pili angalau
 
Jana walipigiwa mwingi mnoo
 
Back
Top Bottom