Aibu: Shyrose Bhanji azua tafrani ziara ya EALA

Mbona huyo dada yenu anajulikana kuwa ana Bipolar Disorder. Nadhani sasa Mania imemkamata.
 
Kwa mujibu wa Shyrose mwenyewe hakuna kitu kama hicho.. Hizi ni siasa chafu zinazolengwa kwake kutokana uamuzi wake wa kumtetea spika wa bunge la Africa Mashariki asing'olewe..

Kwa kuelewa humu JF baadhi ya watu wanapatumia kuwapakazia wengine.. kwangu mie hii habari ni muendelezo wa tabia hiyo chafu ya kujaribu kumchafua Shyrose.. Hajakamilika but hili mnampakazia...
 
Hivi tuhuma hizi dhidi ya Shy-Rose zina ushahidi au Ukweli wowote au ni ule uzushi tu hasa fitna ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu mwakani?
Ben Saanane ni tuhuma za kutunga.. yeye mwenyewe anazihusisha na siasa za bunge la Afrika Mashariki..
 
Last edited by a moderator:
Kweli siasa za CCM balaa...hebu turudi nyuma kidogo; kabla ya uchaguzi mkuu wa 2005. Mzee wetu Salim Ahmed Salim alivyochafuliwa! Haya tukatize hadi mwaka 2014, mwaka moja kabla ya uchaguzi mkuu, Mzee wetu Jaji Joseph Sinde Warioba anavyoendelea kutukanwa! Je yawezekana Shyrose Bhanji kaonekana anataka kutia mchanga kwenye kitumbua cha watu? Yangu macho, ngoja tusubiri.
Naona unameza mazima kama mamba bila kuchambua miba, kisa anaongelewa mwana CCM.
 
Kwanza Mwanamke Aliyetimilifu Anaweza Kuwa Mvuta Sigara Kama Shyrose? Angalia Vivulana Anavyotembea Navyo Wabana Pua!! Kwa Umri Wake Na Hadhi Yake Anaweza Kutembea Na Yule Mwanamuziki? Mwanaume Aliyestaarabika Hawezi Kuoa Mwanamke Kama Yeye Mvuta Misigira Na Mvaa Vichupi! Ndo Maana Anaishia Kugalagazwa Na Wabana Pua.


NI juavyo ni mvuta Ganja Mkubwa!
 
Siasa za ccm bhana ! Huchelewi kusikia kwamba kumbe yote haya kisa makundi yao ya urais !
 
rubani angelibamiza chini hilo ndege na tungewacheki kupitia Aljazeera. Wote walevi tu hata rubani,ilikuwaje abebe abiria aliyelewa na mwenye tabia kama Lisix?
 
kwani si wabunge wa Tanzania huko eala wametenguliwa na Court ama nimechanganya madesa?
 
Back
Top Bottom