Aibu serikali kupanga majengo ya mahakama

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Kwa wengine wanaweza wasiamini lakini ukweli ndo huu.
Serikali inapanga majengo ya watu kuendesha shughuli za mahakama.
Haingii akilini kama kweli serikali imechoka mpaka wanashindwa hata kujenga jengo la mahakama na kwenda kupanga kwa mtu dahh alafu fuatilia huo mkataba wa hilo pango ni ufisadi wa kutisha. Pale kimara serikali ilipanga jengo la mtu huyu mtu amebadilisha matumizi kaweka bar imebidi serikali ibembeleze nyumba ya mtu ipange tena waendelee na shughuli za kimahaka hii ni aibu kwa serikali hapo hapo tunaambiwa ardhi ni mali ya serikai sasa inakuwaje serikali yenye ardhi inashindwaje kujenga mahakama? Au serikali inawapa ulaji watumishi wa mahakama kupangisha majengo na wao wawe wanaganga njaa?
Aibu kubwa kwa serikali kupanga mahakama.l
 
Back
Top Bottom