Aibu nyingine ya serikali: Haina pesa kuendesha mitihani ya Taifa kidato cha pili mwaka huu

Inaonekana mipango ya serikali inaenda kiajaliajali kana kwamba hakuna action plans.
 
Hizo semina ni sawa tu, kwanini mlipwe posho kufanya kazi ambazo mlipaswa mzifanye ?
 
This is TZ we want. TUMETHUBUTU kufanya nini?, TUMEWEZA nini? TUNASONGA MBELE kwenda wapi?
 
nasikia fedha za halmashauri hazijaenda pia, mishahara imekwatwa, na kuna ambao hawajalipwa kibao!!
Serikali yetu kwa kweli ni wabunifu
 
hapo ni manispaa ambako wachokonozi ni wengi,vp huko duniani ambako hata mwl kumtazama DEO anaona aibu?
 
Back
Top Bottom