Aibu Nyingine watakayopata CCM Kwenye Unaibu Meya

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
DAR -ES- SALAAM

BARAZA HALMASHAURI YA JIJI

A. UKAWA
1. Meya wa Jiji ..1
2. Wabunge wa majimbo..6
3. Wabunge viti maalum 1
4. Meya wa Ilala 1
5. Meya Kinondoni 1
6. Madiwani toka Ilala 2
7. Madiwani toka Kinondoni 2
8. Diwani toka Temeke 1
JUMLA 15

B. CCM
1. Wabunge majimbo 4
2. Mbunge viti maalum 1
3. Meya wa Temeke 1
4. Diwani toka Ilala 1
5. Diwani Kinondoni 1
6. Madiwani Temeke 2
JUMLA 10

JUMLA KUU 25

Mhe. Kafana atashinda unaibu meya wa jiji kwa kura 15 dhidi ya mgombea wa CCM atakayepata kura 10.
 
Mnapowaambia ni aibu siwaelewi. Ni aibu kushindwa kihalali?? Jamani, msiwaitee majina mabaya. Wapo pale kushindanisha ili uchaguzi uwe huru kabisa. Naibu Meya akitokea UKAWA mbona powa tuu. Tunataka kazi ili mabadiliko yaonekane si majina ya vyama. Vyama vitaondoka, Darisalama haitakaa iondoke.
Acheni bla bla UKAWA, leteni maendeleo. Malizeni uhasama. Ohooo!! 2020 is not far ni kufumba na kufumbua tu tunaanza uchaguzi
 
Hivi uchaguzi wa naibu meya huwa ni tofauti na wa meya?pia ni vigezo gani vya kumchagua naibu meya?naomba kujuzwa tafadhali.
 
Mnapowaambia ni aibu siwaelewi. Ni aibu kushindwa kihalali?? Jamani, msiwaitee majina mabaya. Wapo pale kushindanisha ili uchaguzi uwe huru kabisa. Naibu Meya akitokea UKAWA mbona powa tuu. Tunataka kazi ili mabadiliko yaonekane si majina ya vyama. Vyama vitaondoka, Darisalama haitakaa iondoke.
Acheni bla bla UKAWA, leteni maendeleo. Malizeni uhasama. Ohooo!! 2020 is not far ni kufumba na kufumbua tu tunaanza uchaguzi
mkishindwa huwa mnakubali nyie wanaLUMUMBA? TUNAJUA KAWAIDA YENU NI KUZANZIBERI TU hakuna namna nyingine
 
DAR -ES- SALAAM

BARAZA HALMASHAURI YA JIJI

A. UKAWA
1. Meya wa Jiji ..1
2. Wabunge wa majimbo..6
3. Wabunge viti maalum 1
4. Meya wa Ilala 1
5. Meya Kinondoni 1
6. Madiwani toka Ilala 2
7. Madiwani toka Kinondoni 2
8. Diwani toka Temeke 1
JUMLA 15

B. CCM
1. Wabunge majimbo 4
2. Mbunge viti maalum 1
3. Meya wa Temeke 1
4. Diwani toka Ilala 1
5. Diwani Kinondoni 1
6. Madiwani Temeke 2
JUMLA 10

JUMLA KUU 25

Mhe. Kafana atashinda unaibu meya wa jiji kwa kura 15 dhidi ya mgombea wa CCM atakayepata kura 10.

Sasa hapo aibu iko wapi?! Kwani kushindwa kwa LOWASSA kwenye mbio za URAIS ilikuwa ni aibu?
 
Back
Top Bottom