Aibu nyingine kwa mawaziri wa Jk

Mhonzuyadilu

Senior Member
Oct 28, 2012
156
0
nikiwa namsikiliza kwa makini kabisa Waziri wa Katiba na sheria at Startvhabari akifafanua jinsi mzee Warioba atakapokuja na mapendekezo yake mapya ya katiba mpya, yeye badala ya kusema Mzee Warioba atawasilisha mapendekezo ya katiba mpya kwa rais Kikwete yeye anakomaa na neno atawakilisha.Hawa ndo mawaziri wetu kiswahili tu shida sasa hizo sheria huko ndani vipi na nyingi ni English drafting.Gt munasemaje hapo wakuu.
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Mme au Mke wa rais asiwe tena sehemu ya urais kama ambavyo Mkapa na Kikwete wamefoji utasikia mke wa rais, unashangaa katiba ya TZ rais anamke???
 
Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,726
1,500
nikiwa namsikiliza kwa makini kabisa Waziri wa Katiba na sheria at Startvhabari akifafanua jinsi mzee Warioba atakapokuja na mapendekezo yake mapya ya katiba mpya, yeye badala ya kusema Mzee Warioba atawasilisha mapendekezo ya katiba mpya kwa rais Kikwete yeye anakomaa na neno atawakilisha.Hawa ndo mawaziri wetu kiswahili tu shida sasa hizo sheria huko ndani vipi na nyingi ni English drafting.Gt munasemaje hapo wakuu.
thread ya kipuuzi kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom