Aibu kwetu watanzania

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
225
mimi nikiwemo ni aibu kubwa sana kwetu sisi kama watanzania kuwaachia watu wengine wadai haki zetu bila hata ya sisi wenyewe kuchikua hatua..kuna mambo mengi sana ya kifisadi yametokea kwenye mashirika na taasisi za uma na kuwekwa wazi na kumulikana na umma wa watanzania..hoja yangu ni kwamba ni kwanini sisi kama watanzania tuu waoga kuchukua hatua ya kuwashurutisha na kuiwajibisha serikali kuchukua hatua stahiki dhidi ya mafisadi mpaka tuanze kukaa na kupigana vikumbo kwenye Tv na viredio kuona na kusikia kina zitto na kafulila wanasema nini...Jambo kama la Escrow ilitakiwa wakati bunge linaendelea kujadili ripoti sisi huku mtaani nchi nzima tunatoka mitaani tunaandamana maandamano ya amani kupressulize yanayoendelea bungeni yafanyike ipasavyo..tutoke mabarabarani tubebe mabango tushirikiane na wanafunzi wa vyuo vikuu wafanyakazi na waalimu wanadhulumiwa kudai fedha iliyochotwa irudishwe...NB kuanzia kesho naandamana kutimiza na kudai haki yangu...hela iliyochotwa ni kodi ya watanzania mimi nikiwa mmoja wao....naandamana siogopi polisi
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
2,000
Kama kuna wakati wowote UKAWA wanaweza kufikisha zaidi ya sahihi 100 ili kupiga kura kutokuwa na imani na Mizengo Pinda ni sasa.

Wasihangaike na hao kina Maswi...Hiyo ndo game plan ilobaki
 
chingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2014
261
195
mimi nikiwemo ni aibu kubwa sana kwetu sisi kama watanzania kuwaachia watu wengine wadai haki zetu bila hata ya sisi wenyewe kuchikua hatua..kuna mambo mengi sana ya kifisadi yametokea kwenye mashirika na taasisi za uma na kuwekwa wazi na kumulikana na umma wa watanzania..hoja yangu ni kwamba ni kwanini sisi kama watanzania tuu waoga kuchukua hatua ya kuwashurutisha na kuiwajibisha serikali kuchukua hatua stahiki dhidi ya mafisadi mpaka tuanze kukaa na kupigana vikumbo kwenye Tv na viredio kuona na kusikia kina zitto na kafulila wanasema nini...Jambo kama la Escrow ilitakiwa wakati bunge linaendelea kujadili ripoti sisi huku mtaani nchi nzima tunatoka mitaani tunaandamana maandamano ya amani kupressulize yanayoendelea bungeni yafanyike ipasavyo..tutoke mabarabarani tubebe mabango tushirikiane na wanafunzi wa vyuo vikuu wafanyakazi na waalimu wanadhulumiwa kudai fedha iliyochotwa irudishwe...NB kuanzia kesho naandamana kutimiza na kudai haki yangu...hela iliyochotwa ni kodi ya watanzania mimi nikiwa mmoja wao....naandamana siogopi polisi

tangulia kaka mseseve nasi tunakufuata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom