Aibu kwenu wana ICT,mnatengeneza Website ,nyie hamna website!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
mimi nawashangaa sana
wengi wenu majieleza mnavyoweza kutengeneza website za watu,mbona hamtuwekei mlizotengeneza

wengi wenu mnakimbilia kwenye vya bure,blogspot,wordpress nk kwa nini

mfano ni huyu bwana ninayemuheshimu sana katika jukwaa hili kumbe naye ndo hivyo tena

mcheki ni MziziMkavu

kwanza kila fundi magari ana gari?? We vp!
 
mimi nawashangaa sana
wengi wenu majieleza mnavyoweza kutengeneza website za watu,mbona hamtuwekei mlizotengeneza

wengi wenu mnakimbilia kwenye vya bure,blogspot,wordpress nk kwa nini

mfano ni huyu bwana ninayemuheshimu sana katika jukwaa hili kumbe naye ndo hivyo tena

mcheki ni MziziMkavu

Mkuu usi generalise mambo. fanya upembuzi yakinifu.. fanya analysis ya kiteknini jiuize maswali haya kadhaa
  • Sio kila cha gharama ni cha quality na sio kila cha bure cha nafuu hakina quality. Linganisha tovuti ya TBC wanayolipia domain na watalaam alafu ifananishe na ilinganishe na blog ya bure kama ya issa michuzi. kitaaalma ki IT blog ya bure ya Isssa michuzi ukitaka kuinunua gharama yake ni kubwa sana kuliko Tovuti ya TBC.Kwa nini?
Ndio maana sishangai mawaziri wetu wana mawazo kama yako. Wakomalia kutumia magari ya gharama VX kutoka masaki kwenda posta. Wanaona wakitumia vitara ni aibu au watadharisrisha vyeo vyao.Kumbe unaweza kutumia kitu cha bure na ukawa effective efficient na ukatimiza malengo.

Watch out mkuu usikimbilie vya gharama tu siku zote na hata ndege kabla ya kuruka lazima ipate kasi
 
Cheki mifano mingine kuonyesha sio vyote vya bure na vya free ni vibaya

  • Apache ambayo ni Open source webserer solution ina market share ya 65% na IIS ya micorosoft ya gharama ina kama 15% . Why
  • Linux ni Open source OS ambayo ni kama free Lakini Window Server ghrama yake. Lakini kwa nini webwever nyingi zina run kwenye inux sio windows?
  • MySQl ni open source database server ambayo ni kama free tofauti na Microst Sql server na Oracle. Kwa nini vuti nyingi duniani zinatumia DB engine ya bure ya Mysql na sio Oracle?
Je itakuwa sahihi kuhoji au kupima mafanikio ya IT kwenye kampuni kutokana gharama wallizotumia au inatakiwa tupime kutokana na mambo mengine
 
Back
Top Bottom