Aibu Kwa Tanzania; Mzungu atozwa $200 JKN-Airport kwa kutokuwa na risiti ya vinyago

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Hii ni Jana usiku. Msafiri alikuwa apande KLM ya kwenda Amsterdam, kufika Airport, vijana wa kazi wakamuita kando mzungu na kumchomoa $200 wakidai hakuwa na risiti ya vinyago alizonunua Huko Mwenge.

Anadai walimstishia jela bila risiti. Option waliyokuwa nayo ni kumchomoa hiyo $200. Kweli Tanzania ni ya Mwendo kasi. Nadhani JKN-Airport ina CCTV. Uongozi uangalie hapo jana , nani alimvyuta Mzungu kando na kumchomoa

---------------------------------------------------------------------------------------------
From: rxxxxxxxxx@state.gov
Date: Tue, 9 Aug 2016 22:11:30 +0300
Subject: Shake down
To: xxxxxxxxx hotmail.com

Hey XXXXXX, I was going through the last security checkpoint at the airport and the security guys took me aside and went through my carry ons. They said that since I didn't have a receipt for the curving’s (souvenirs) we bought at Muwenge, I had to pay them $200 to take them with me, or I could go back to the first security stop and pay for them again, and get a receipt or go to jail. Basically, they robbed me of $200. I wonder how many times they do that each day. Considering it was only a few minutes to start boarding, there was little I could have done. Mind you, last week police in Bagamoyo road harassed us badly taking $150 claiming we had expired fire extinguisher. Even our diplomatic immunity didn't mean anything to them. I will be lodging a complaint in regards to the harassment and shakedowns as this terrified me

Talk to you soon.

XXXXXX
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa Taifa, bora mimi sio mtanzania. Bongo kila mwenye nafasi anakula bila huruma.Inaleta picha mbaya. Hawa watu wafuatiliwe maana wamezidi wizi.
 
Binafsi sijaona kama ni aibu kivile kisa imewagusa wazungu. Tumeshaamua kuwa nchi ya kufuata sheria lazima wote tuifuate. Tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hawa wachuuzi wadogo wawe na risti halali kwa mauzo yao ili waendelee kufanya biashara.
 
Hii ni Jana usiku. Msafiri alikuwa apande KLM ya kwenda Amsterdam, kufika Airport, vijana wa kazi wakamuita kando mzungu na kumchomoa $200 wakidai hakuwa na risiti ya vinyago alizonunua Huko Mwenge.

Anadai walimstishia jela bila risiti. Option waliyokuwa nayo ni kumchomoa hiyo $200. Kweli Tanzania ni ya Mwendo kasi. Nadhani JKN-Airport ina CCTV. Uongozi uangalie hapo jana , nani alimvyuta Mzungu kando na kumchomoa

---------------------------------------------------------------------------------------------
From: rxxxxxxxxx@state.gov
Date: Tue, 9 Aug 2016 22:11:30 +0300
Subject: Shake down
To: xxxxxxxxx hotmail.com

Hey XXXXXX, I was going through the last security checkpoint at the airport and the security guys took me aside and went through my carry ons. They said that since I didn't have a receipt for the curving’s (souvenirs) we bought at Muwenge, I had to pay them $200 to take them with me, or I could go back to the first security stop and pay for them again, and get a receipt or go to jail. Basically, they robbed me of $200. I wonder how many times they do that each day. Considering it was only a few minutes to start boarding, there was little I could have done. Mind you, last week police in Bagamoyo road harassed us badly taking $150 claiming we had expired fire extinguisher. Even our diplomatic immunity didn't mean anything to them. I will be lodging a complaint in regards to the harassment and shakedowns as this terrified me

Talk to you soon.

XXXXXX
nchi hii imeingiliwa kwenye utawala
 
Uhuru Kenyata rais wangu,Kenya nchi yangu,aibu yenu hiyo....
 
Kwanini hawakuwa na risiti, second, walipewa option waende wakalipie wapewe risit kwanini hawakwenda, walitaka kumaliza kiuni wakadeal na wahuni wenzao. Hakuna cha aibu, wasilete mambo ya ajabu. Hao airport zao hupiti na mizigo bila risit, labda uondoe label, they know that, sasa nchi yetu ndio ya kufanyiwa uhuni, waanze huko, hakuna sababu ya kushabikia mambo ya ajabu
 
Binafsi sijaona kama ni aibu kivile kisa imewagusa wazungu. Tumeshaamua kuwa nchi ya kufuata sheria lazima wote tuifuate. Tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hawa wachuuzi wadogo wawe na risti halali kwa mauzo yao ili waendelee kufanya biashara.
Wewe tumia akili kidogo. Ile $200 imechukuliwa kama rushwa.. Sasa hapo sheria inayo ruhusu kuchukua rushwa Airport labda ipo nyumbani kwako
 
Mla rushwa na mtoa rushwa wote wana makosa. Hao wazungu wazoefu maanake walianza kutoa rushwa Bagamoyo kama wanavyoeleza. Kwanini wasingelipa fine na kudai risiti ya fine hio?
 
Hah anyway kwa vile imetokea kwa mzungu ndo inataka kuonekana issue kuuuubwa.
Hv huyo mzungu angekua kwao angenunua kitu bila kupewa risit angekubali, kwa nini asidai risit kama mpaka pipi tu tunatakiwa kudai risit.
Pili serikali inabidi imtafute na kumrudisha huyo mzungu hapa nchini aje kujib mashtaka yake ambayo ni
1.kununua bidhaa bila kudai risit kitendo kilichotupunguzia kodi yetu bila sbb ya msingi hivyo kupunguza mapato ktk budget yetu ya 29trillion na inaweza kutusababishia kuto fikia malengo yetu ya maendeleo tuliojiwekea ya mwaka 2016/2017
2.kuombwa na kukubali kutoa rushwa ya usd200 ili asishtakiwe kwa uzembe wa kuto dai risit kwenye manunuzi aliofanya.
3.kuisaidia polisi kuwatambua na kuwakamata wote waliohusika na rushwa hiyo ya usd200 pamoja usd150
4.kosa la 4 naomba mnisaidie jinsi gani tutaliweka ili tumshtaki kwa kutakatisha fedha, hili ni kosa common sana siku hiz sbb kubwa nadhan halina dhamana.

Lkn itakuaje wafanye makosa ya kua na expired fire extinguisher alaf waachwe huru in the name of diplomatic immunity? Sijajua sheria inasemaje hapa.
 
Haya maswala ya risiti Tanzania isikae ikadhania itashinda hata siku moja, hata marekani hili tatizo wanalo, alafu haiwezekani mtu ukawa unatembea na risiti ya kila kitu ulichonacho, mwisho wa siku tutadaiwa hadi risiti ya nguo tulizovaa, njia pekee ya kuweza kuestimate hela mtu anayoingiza ni kuencourage matumizi ya kadi badala ya cash, nchi zote kubwa wanafanya hivyo, watu wakilipa kwa kadi transactions zote zinarekodiwa hatutokaa tunasumbuana mambo ya risiti, ATMs zikiwa kila sehemu zenye uwezo wa kutoa na kuweka hela, na machine za kulipia kwa kadi kwenye kila duka, matumizi ya cash yatapungua kwa kasi mno. Kwa nini tunabaki nyuma kwenye teknolojia ambayo wenzetu walianza miaka zaidi ya 10 iliyopita.
 
Hah anyway kwa vile imetokea kwa mzungu ndo inataka kuonekana issue kuuuubwa.
Hv huyo mzungu angekua kwao angenunua kitu bila kupewa risit angekubali, kwa nini asidai risit kama mpaka pipi tu tunatakiwa kudai risit.
Pili serikali inabidi imtafute na kumrudisha huyo mzungu hapa nchini aje kujib mashtaka yake ambayo ni
1.kununua bidhaa bila kudai risit kitendo kilichotupunguzia kodi yetu bila sbb ya msingi hivyo kupunguza mapato ktk budget yetu ya 29trillion na inaweza kutusababishia kuto fikia malengo yetu ya maendeleo tuliojiwekea ya mwaka 2016/2017
2.kuombwa na kukubali kutoa rushwa ya usd200 ili asishtakiwe kwa uzembe wa kuto dai risit kwenye manunuzi aliofanya.
3.kuisaidia polisi kuwatambua na kuwakamata wote waliohusika na rushwa hiyo ya usd200 pamoja usd150
4.kosa la 4 naomba mnisaidie jinsi gani tutaliweka ili tumshtaki kwa kutakatisha fedha, hili ni kosa common sana siku hiz sbb kubwa nadhan halina dhamana.

Lkn itakuaje wafanye makosa ya kua na expired fire extinguisher alaf waachwe huru in the name of diplomatic immunity? Sijajua sheria inasemaje hapa.

Usikae ukaongea kama expert huku hujui chochote, hivi unadhani ni rahisi kwa foreigner kila anapokwenda akawa anajua kila kitu jinsi nchi flani inavyoendeshwa? Tena nchi yenyewe Tanzania ambayo hatuna much information online, website ngapi za government zinafanya kazi na zina information zote hizo? Huwezi sema aingie kwenye SNS tanzania maana sisi tunaongea kwa kiswahili, na kama mgeni hawezi akaja akajua forums za waswahili, kwa kifupi anabaki gizani.

Safiri uende nchi za watu uone kama utakua unachukua risiti kila muda, unaongea tu, mgeni ni mgeni tu, huyu jamaa wamemuibia bila yeye kujua, sio kosa lake. Kununua kitu hujapewa risiti, sehemu ngapi Tanzania hawatoi risiti? ishakua kama mazoea. Hili kosa ni la kwetu, sisi ndio inabidi tulifix, huyu jamaa hana kosa kabisa, ni aibu.
 
Back
Top Bottom