Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Habari wadau. Kuna wakati mwingine nchi yetu haifanyi vitu vilivyokuwa na serious. Sasa website muhimu hapa nchini kama www.tcu.go.tz kutofunguka kwa kipindi hiki ambacho vijana wetu wako wanahangaika kujua walau future yao itakuwaje, ni aibu. Nina Imani kuna mtaalam analipwa lakini atakuwa anakula bata tu.
Ngoja tuone tutafika wapi.
Ngoja tuone tutafika wapi.