Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

Remote
Kama utakumbuka hapo nyuma nilikueleza kuhusu kuundwa kwa tume. Hilo ndilo limetokea baada ya katibu mkuu kuunda tume kuchunguza tatizo.

Haya yote yanafanyika ili kupunguza joto linalopanda. Haiwezekani katibu mkuu hajui vigezo na taratibu zilizotumika kupata hao watu.

Anachotaka kutuambia Mbaraka Abdulwakil ambaye yeye mwenyewe inaonekana ni mtoto wa mzee ni kuwa usaili ulifanyika akiwa hajui.

Nadhani Watanzania lazima wabadilike. Huyu Mbarak anaunda tume isiyojulikana ni akina nani, wanatafuta nini na kwa muda gani. Tume anayounda inawajibika kwake na hivyo ana uwezo wa kuficha matokeo kama hayatamridhisha''

Tubadilike hawa jamaa wataendelea kutuchezea kila siku jamani.

Mtu wa kwanza kuondoka ili uchunguzi uanze ni Mbarak Abdul Wakili. Kuna sababu hizi
1. Yeye ndiye mwajiri wa hao 'watarajiwa' na hivyo alipaswa kujua taratibu na sheria zinazoambatana na ajira atakazotoa
2. Mbaraka ameidhinisha mamilioni kutafuta watahaniwa, iweje leo hajui jinsi wallivyoajiriwa.
3. Kwa kuzingatia kuwa yeye ni mhusika mkuu katika suala hili, anaunda tume ikamchunguze nani
4. Tume aliyounda ina uwezo gani wa kumwajibisha kwa uzembe ikiwa tume hiyo haiwezi kumchunguza.
5. Ni sheria gani ya umma inampa uhalali wa kuundwa tume katika suala la kiutendaji kama hili
6. Tume hiyo ina nguvu gani za kisheria za kuwasafisha au kuwatia hatiani wahusika ikibianika.

Kwa sasa Watanzania wanahangaika kutaka watu wawajibishwe. Hakuna anayejua nani amefanya usaili isipokuwa Abdul Wakili. Kwa vile usaili huo wa mwanzo umeleta sintofahamu, uhalali wa zoezi zima umeingia doa.

Hapa ndipo Mbarak anapotakiwa kubeba zigo la gharama za aina mbili
1. Kuendesha mchakato hovyo kwa kutumia mamilioni ya fedha za umma kwa uzembe
2. Matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kuuda tume.

Mtu wa kwanza anayetakiwa kukaa pembeni ili uchunguzi ufanyike ni AbdulWakili. Huyu ndiye mhusika mkuu na tatizo zima lililojitokeza.

Watanzania, hivi mnaamini vipi kuwa mtuhumiwa anaweza kuunda tume ya kujichunguza?
 
Last edited by a moderator:
hajaunda tume ameunda kamati ndogo ya kufanya uchunguzi..then kumbuka zoez la kupata makonstebo na makoplo lilikuwa chini ya idara husika na sio wizaran kama ass.inspectors..kwaiyo yeye yupo sawa kwamba ameunda kamati ya kwenda uhamiaji kutoka wizaran kufuatilia mchakato mzima wa usaili ulivyoendeshwa..majina yote yatapitiwa na kuhakikiwa upya kama washukiwa kweli ni watoto au ndugu..jambo ambalo litakuwa rahisi sana ni kumjua mtoto ambaye wakikagua vyeti vya kuzaliwa vitaendana 100% na je katika idara hiyo kuna staff mwenye jina hilo au lah..lakini hiyo sio kesi sana ila je hao watoto walikuwa na sifa za kupata ajira au lah..lakini kwa upande wa ndugu bado itakuwa ngumu kuthibitisha mana majina haya match..KUMBUKA HIZI NI TUHUMA TU KWAIYO KAMATI IYO INAWEZA KUJA NA UCHUNGUZI AMBAO WIZARA IKASEMA HAZIKUWA NA UKWELI AU WALIKUTA WATOTO WA WAFANYAKAZI WA IDARA ILA WALIKUWA NA SIFA ZA KUAJIRIWA JE WATOLEWE WAWEKWE WENGINE..NA VIPI KUHUSU WALE WALIOPATA KAZI KIHALALI HATMA YAO NINI.
 
Mkuu,
Unajua watu wanachanganya hapa kati ya nafasi zile 70 za watu walioitwa uwanja wa taifa na hizi nafasi 200 za vijana wa form four na form six. Hawa 200 hawakufanyia interviews zao uwanja wa taifa.

Hizi wahusika ni idara ya Uhamiaji na kama kuna madudu basi Uhamiaji watakuwa wao ndio wamefanya.

Wizara imefanya la maana kusitisha na kufanya uchunguzi. Wacha sasa tusubiri matokeo yake.
hajaunda tume ameunda kamati ndogo ya kufanya uchunguzi..then kumbuka zoez la kupata makonstebo na makoplo lilikuwa chini ya idara husika na sio wizaran kama ass.inspectors..kwaiyo yeye yupo sawa kwamba ameunda kamati ya kwenda uhamiaji kutoka wizaran kufuatilia mchakato mzima wa usaili ulivyoendeshwa..majina yote yatapitiwa na kuhakikiwa upya kama washukiwa kweli ni watoto au ndugu..jambo ambalo litakuwa rahisi sana ni kumjua mtoto ambaye wakikagua vyeti vya kuzaliwa vitaendana 100% na je katika idara hiyo kuna staff mwenye jina hilo au lah..lakini hiyo sio kesi sana ila je hao watoto walikuwa na sifa za kupata ajira au lah..lakini kwa upande wa ndugu bado itakuwa ngumu kuthibitisha mana majina haya match..KUMBUKA HIZI NI TUHUMA TU KWAIYO KAMATI IYO INAWEZA KUJA NA UCHUNGUZI AMBAO WIZARA IKASEMA HAZIKUWA NA UKWELI AU WALIKUTA WATOTO WA WAFANYAKAZI WA IDARA ILA WALIKUWA NA SIFA ZA KUAJIRIWA JE WATOLEWE WAWEKWE WENGINE..NA VIPI KUHUSU WALE WALIOPATA KAZI KIHALALI HATMA YAO NINI.
 
Remote
Kama utakumbuka hapo nyuma nilikueleza kuhusu kuundwa kwa tume. Hilo ndilo limetokea baada ya katibu mkuu kuunda tume kuchunguza tatizo.

Haya yote yanafanyika ili kupunguza joto linalopanda. Haiwezekani katibu mkuu hajui vigezo na taratibu zilizotumika kupata hao watu.

Anachotaka kutuambia Mbaraka Abdulwakil ambaye yeye mwenyewe inaonekana ni mtoto wa mzee ni kuwa usaili ulifanyika akiwa hajui.

Nadhani Watanzania lazima wabadilike. Huyu Mbarak anaunda tume isiyojulikana ni akina nani, wanatafuta nini na kwa muda gani. Tume anayounda inawajibika kwake na hivyo ana uwezo wa kuficha matokeo kama hayatamridhisha''

Tubadilike hawa jamaa wataendelea kutuchezea kila siku jamani.

Mtu wa kwanza kuondoka ili uchunguzi uanze ni Mbarak Abdul Wakili. Kuna sababu hizi
1. Yeye ndiye mwajiri wa hao 'watarajiwa' na hivyo alipaswa kujua taratibu na sheria zinazoambatana na ajira atakazotoa
2. Mbaraka ameidhinisha mamilioni kutafuta watahaniwa, iweje leo hajui jinsi wallivyoajiriwa.
3. Kwa kuzingatia kuwa yeye ni mhusika mkuu katika suala hili, anaunda tume ikamchunguze nani
4. Tume aliyounda ina uwezo gani wa kumwajibisha kwa uzembe ikiwa tume hiyo haiwezi kumchunguza.
5. Ni sheria gani ya umma inampa uhalali wa kuundwa tume katika suala la kiutendaji kama hili
6. Tume hiyo ina nguvu gani za kisheria za kuwasafisha au kuwatia hatiani wahusika ikibianika.

Kwa sasa Watanzania wanahangaika kutaka watu wawajibishwe. Hakuna anayejua nani amefanya usaili isipokuwa Abdul Wakili. Kwa vile usaili huo wa mwanzo umeleta sintofahamu, uhalali wa zoezi zima umeingia doa.

Hapa ndipo Mbarak anapotakiwa kubeba zigo la gharama za aina mbili
1. Kuendesha mchakato hovyo kwa kutumia mamilioni ya fedha za umma kwa uzembe
2. Matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kuuda tume.

Mtu wa kwanza anayetakiwa kukaa pembeni ili uchunguzi ufanyike ni AbdulWakili. Huyu ndiye mhusika mkuu na tatizo zima lililojitokeza.

Watanzania, hivi mnaamini vipi kuwa mtuhumiwa anaweza kuunda tume ya kujichunguza?

Wacha unafiki wewe.
We umekuwa nani kuihoji tume?
Km una malalamiko makini basi peleka Police au kwa mbunge wako.

We unajua ni nani aliyempa madaraka huyo A.Wakili kuwa na uwezo wa Kuunda tume aitakayo.
Unafahamu Criteria za wajumbe wa tume hio na umefuatilia km wana ulakin wwt?

Jaribu kutumia kichwa kufikiri. Km suala la kuwajibika basi mpaka waziri wa mambo ya ndani Anahusika.
Usimkosoe Abdul Wakil kwa sababu ya DINI YAKE.
Manake tunakufahamu wewe humu jf! Uonapo Muislamu yumo ktk UONGOZI fulani basi kwa namna yyt utamsema kwa ubaya tu japo Wagalatia ndio hassa wachafuzi wa mazingira.

We utakuwa lini? Na unaandika km vile unatuwakilisha wote.
Koma kabisa kusema Watanzania wanahangaika bla...bla..bla...
Au kusema SISI watz bla ..bla..bla..
Kwa kuanzia tu Mimi simo ktk hao unaosema wanahangaika.

Chunga kauli zako kijana.
 
Last edited by a moderator:
na hapo ukweli ni kuwa watu wao walienda kwenye usaili huku wana maswali na majibu yake can u imagine.! tena cha ajabu wanajadili na kukimbushana wakiwa eneo husika . dah!
 
Wacha unafiki wewe.
We umekuwa nani kuihoji tume?
Km una malalamiko makini basi peleka Police au kwa mbunge wako.

We unajua ni nani aliyempa madaraka huyo A.Wakili kuwa na uwezo wa Kuunda tume aitakayo.
Unafahamu Criteria za wajumbe wa tume hio na umefuatilia km wana ulakin wwt?

Jaribu kutumia kichwa kufikiri. Km suala la kuwajibika basi mpaka waziri wa mambo ya ndani Anahusika.
Usimkosoe Abdul Wakil kwa sababu ya DINI YAKE.
Manake tunakufahamu wewe humu jf! Uonapo Muislamu yumo ktk UONGOZI fulani basi kwa namna yyt utamsema kwa ubaya tu japo Wagalatia ndio hassa wachafuzi wa mazingira.

We utakuwa lini? Na unaandika km vile unatuwakilisha wote.
Koma kabisa kusema Watanzania wanahangaika bla...bla..bla...
Au kusema SISI watz bla ..bla..bla..
Kwa kuanzia tu Mimi simo ktk hao unaosema wanahangaika.

Chunga kauli zako kijana.

Unamtisha nani
 
We mtemi nakuangaliiiiia Wewe una umimi udini ukabila ushamba wa mawazo mana huelewi we ilmrad umebwata we unapingana na wanaowafichua wasio wazalendo
 
Wacha unafiki wewe.
We umekuwa nani kuihoji tume?
Km una malalamiko makini basi peleka Police au kwa mbunge wako.

We unajua ni nani aliyempa madaraka huyo A.Wakili kuwa na uwezo wa Kuunda tume aitakayo.
Unafahamu Criteria za wajumbe wa tume hio na umefuatilia km wana ulakin wwt?

Jaribu kutumia kichwa kufikiri. Km suala la kuwajibika basi mpaka waziri wa mambo ya ndani Anahusika.
Usimkosoe Abdul Wakil kwa sababu ya DINI YAKE.
Manake tunakufahamu wewe humu jf! Uonapo Muislamu yumo ktk UONGOZI fulani basi kwa namna yyt utamsema kwa ubaya tu japo Wagalatia ndio hassa wachafuzi wa mazingira.

We utakuwa lini? Na unaandika km vile unatuwakilisha wote.
Koma kabisa kusema Watanzania wanahangaika bla...bla..bla...
Au kusema SISI watz bla ..bla..bla..
Kwa kuanzia tu Mimi simo ktk hao unaosema wanahangaika.

Chunga kauli zako kijana.

usiwaze kwa kutumia kalio...
apo palikuwa na majina kama 1. FILBART SUMAYE,
2. PAMELA LOWASA,
3. ZARIA KAWAWA,
4. HERIETH LUMBANGA,
5. SALAMA MWINYI,
6. RECHAL MUGANDA,
7. SALMA MAHITA,
8. JUSTINA MUNGAI,
9. KENETH NCHIMBI,
10. BLASIA W. MKAPA,
11. VAOLETH LUHANJO,
12. LIKU KATE KAMBA,
13. THOMAS MONGELA
mods wameyaondoa....jaribu kutumia kichwa kufikir..dini zilizo kuja na meli zisikutoe jasho, dini ni za waarabu na wazungu na sio za mungu.
 
Ndiyo wanaruhusiwa ila mambo haya huambatana pia,hakikisha huyo anapita usaili maana ni mtoto, shangazi,anko,angu!!!!
 
Huu ni ujinga.
Nafasi zote mnawapa ndugu zenu nchi yenu tú hii eti eeh?
Kamateni tú tieni ndani kosa la kushindwa kutumia madaraka.
Shame on them.
 
Kama wanavigezo basi hapo litaachwa tu lipite, lakini ikibainika hawana vigezo ndipo watakapoona maisha magumu, siunajua tena funika kombe mwana haramu apite..hehe
 
Una uhakika gani katibu mkuu na yeye hakupeleka kimemo chake...kuzima mambo wamewasiliana na jamaa na kumwambia oyaa sitisha kwanza ngoma ipungue makali kwanza then tutajua la kufanya hapo mbele..mbona lile la mkaguz hawajaligusa au walivuta mkwanja mrefu nini(mtazamo tu)..then pale kuna mtoto mpaka wa Kamishna Mstaafu ambao kwa kipindi hiko chote walikuwa marafiki wakubwa tu..sasa cjui itakuwaje mana huwez kusema kamishna na katibu ambao wote wanateuliwa na rais wasiwe na urafiki tena wa karibu..Sitachangia tena mpaka taarifa ya kamati ndogo itakapokamilika..Kamati naomba mtende haki kuna watu wengine walifaulu usaili kihalali na walikuwa na sifa stahiki mana huwezi kusema watu wote 200 walipendelewa sio kweli..waliopendelewa piga chini pitien mafile yote ya waliochaguliwa mnaweza kukuta hata wengine hawakuwa na chet cha STD seven..
 
Kwanza, wanajamvi naweka nukuu zote ili kuweka rekodi vema. Si vema kwa wale wanaotumia simu kunukuu mkeka, hata hivyo ni muhimu kwasababu Jamvi linapokuwa na watoto kama huyu linaharibika.
Hii ndiyo sababu watu wanakimbia jukwa hilii.

Nimeandika kuhusu kuundwa kwa tume hata kabla ya tume kuundwa.
Lipo bandiko nimesema uongozi wa Uhamiaji, mkurugenzi, katibu mkuu, Waziri wanahusika kwasababu hili lipo mikononi mwao na wanalijua.

Siku mbili baada ya bandiko hilo nikaweka lingine nikieleza kuwa katibu mkuu wa uhamiaji aliyeunda tume hapaswi kufanya kazi hiyo. Katibu mkuu, mkurugenzi na waziri wote ni watuhumiwa wataundaje tume ya kujiuchunguza.
Na kwavile aliyejitokeza ni katibu mkuu nilimtaja kama Abdulwakili.

Sasa soma nilichoandika halafu ulinganisha na maneno ya huyu kijana na tuhuma za unafiki na.k.

Remote hili nalo litapita kama la BoT. Ile tume iliyoundwa kuchunguza watoto wa vigogo imeishia wapi?

Kesho itaundwa tume kuwafumba macho Watanzania. Kwa utamaduni wa Watanzania wa kupenda 'amani na utulivu' watakaa kimya wasubiri tume ilete majibu kama ile ya 'BoT' inayosubiriwa miaka zaidi ya 6 sasa.

Nadhani Watanzania wafikirie upya namna ya kukabiliana na mambo kama haya.

Sina ushahidi wa kusema ndivyo au sivyo, lakini majina hayo yalivyowekwa inabidi waziri, katiba mkuu na mkurugenzi mkuu wa Uhamiaji watoke na kusafisha hali ya hewa.

Watakapoamua kukaa na mkuu wa nchi kukaa kimya kama ilivyotokea huko nyuma, mbegu hii ni mbaya sana.
Ipo siku tutakuwa na engineer au daktari kwa majina. Tutaishiwa kunyofolewa nyeti kwa operation ya ugonjwa wa kipanda uso.

Hili lazima wakuu watoke na maelezo. Hadi sasa inavyosomeka na kueleweka ni 'nepotism'.
Sasa wao wanadhimi ya ku-prove theory hiyo kama ni kweli au si kweli. Kukaa kimya maana yake ni 'ndiyo'.

Hili lazima lifanyiwe kazi haraka.
Lakini na Watanzania nao umefika wakati sasa waamke.
Hii habari ya kuundwa kwa tume ni kuwapumbaza. Kinachotakiwa ni majibu ya nini kimetokea.

Haiwezekani iundwe tume ikiwa mkurugenzi, katibu mkuu na waziri wameridhia.
Tume inakuja kuangalia nini?Si kuna vigezo, viwekwe hadharani watu waone.

Mkurugenzi wa uhamiaji, Idd el fitri itakapoisha bila majibu, utakuwa unawaagiza Watanzania wafikirie namna nyingine.
Huko tutasema 'tulisema, tulionya na tuliwaomba''

Ahsante
Wacha unafiki wewe.
We umekuwa nani kuihoji tume?
Km una malalamiko makini basi peleka Police au kwa mbunge wako.

We unajua ni nani aliyempa madaraka huyo A.Wakili kuwa na uwezo wa Kuunda tume aitakayo.
Unafahamu Criteria za wajumbe wa tume hio na umefuatilia km wana ulakin wwt?

Jaribu kutumia kichwa kufikiri. Km suala la kuwajibika basi mpaka waziri wa mambo ya ndani Anahusika.
Usimkosoe Abdul Wakil kwa sababu ya DINI YAKE.

Manake tunakufahamu wewe humu jf! Uonapo Muislamu yumo ktk UONGOZI fulani basi kwa namna yyt utamsema kwa ubaya tu japo Wagalatia ndio hassa wachafuzi wa mazingira.

We utakuwa lini? Na unaandika km vile unatuwakilisha wote.
Koma kabisa kusema Watanzania wanahangaika bla...bla..bla...
Au kusema SISI watz bla ..bla..bla..
Kwa kuanzia tu Mimi simo ktk hao unaosema wanahangaika.

Chunga kauli zako kijana.
Nadhani mnatambua kwanini wengi wanakaa pembeni na jukwaa hili kwa masuala ya kitaifa.
Kujadiliana na mtu kama huyu inasikitisha sana.

cc Remote
 
Last edited by a moderator:
Hivi watoto hao kama wana sifa hawaruhusiwa kuomba nafasi hiyo kwa sababu Baba, Mama, shangazi, Mjomba anafanya kazi au ni mtumishi wa Idara ya Uhamiaji??????????????????????

Wewe jifunze kufikili, Kama serikali yenyewe imeamua kuchukua uhamuzi mgumu, iweje wewe utetee. Nahisi na wewe umo kwenye hiyo list. Imekula kwako.
 
tena wenye sifa tunapunguzwa mapema tusilete ushindani usipende kuongelea k2 usicho kijua
bado nipo acha kulalama mdau,watu wapo hapahapa Tanzania wanapata kazi bila God fathers, tena hawana vyeti wana Provisional results tu,wewe endelea kulalamika kuwa wenye competent mnaachwa,ila tambua kuna watu wanapata kazi kila kukicha,na wanaacha na wanapata
 
Last edited by a moderator:
kp30072014.jpg
 
Yaani nawashangaa sana watu kufurahia hii kidogo...I wish mngejua kiasi cha uchakachuaji kilichofanyika kwenye nafasi za Mkaguzi msaidizi mngelia. Huko Konstebo na Koplo ni cha Mtoto. Fatilieni yale majina yayalioongezwa kwenye website ya wizara baada ya listi ya kwanza kutoka. HAPA NAONGELEA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI..AU ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION. Zoezi hili lilifanywa na Wizara yenyewe si Idara ya Uhamiaji...Kuna mtu anaitwa FORGET N. Charles baba yake ni Charles Nsanze ni Mkurugenzi hapo Mambo ya Ndani anaitwa na alikuwapo kwenye jopo la usaili, kuna mwingine anaitwa Aziza Kaku, aunt yake ni MHUDUMU wa DAP na mkumbuke DAP ndo aliyesimamia zoezi hilo la kuajiri, mweingine anaitwa Mangunda Kaporo, dada yake ni Afisa tawala wa Hapo Wizarani. Hiyo ni sample tu mengine fanyeni uchunguzi wenyewe.Ila nachowambia ni kwamba kuna mchezo mchafu sana umefanyika..Ni vema sana hata hii ajira ya Mkaguzi msaidizi pia ifutwe. hakuna kitu. am out. na sitaki maswali.
 
Una uhakika gani katibu mkuu na yeye hakupeleka kimemo chake...kuzima mambo wamewasiliana na jamaa na kumwambia oyaa sitisha kwanza ngoma ipungue makali kwanza then tutajua la kufanya hapo mbele..mbona lile la mkaguz hawajaligusa au walivuta mkwanja mrefu nini(mtazamo tu)..then pale kuna mtoto mpaka wa Kamishna Mstaafu ambao kwa kipindi hiko chote walikuwa marafiki wakubwa tu..sasa cjui itakuwaje mana huwez kusema kamishna na katibu ambao wote wanateuliwa na rais wasiwe na urafiki tena wa karibu..Sitachangia tena mpaka taarifa ya kamati ndogo itakapokamilika..Kamati naomba mtende haki kuna watu wengine walifaulu usaili kihalali na walikuwa na sifa stahiki mana huwezi kusema watu wote 200 walipendelewa sio kweli..waliopendelewa piga chini pitien mafile yote ya waliochaguliwa mnaweza kukuta hata wengine hawakuwa na chet cha STD seven..

Hakuna ambaye hakuwa na Kimemo..kwanza waziri ndo aliyeengoza kupeleka vimemo kwa taarifa yenu..Katibu mkuu pamoja na kupeleka vimemo vyake vya kutosha alihakikisha pia kuwa wazanzibari wanaingia tena hata hawana sifa za kutosha wengine...Kwa ufupi kila mtu alikuwa na vimemo vyake. SWALI LA KUSHANGAZA NI KWA NINI YEYE NDO AUNDE TUME YA UCHUNGUZI? KWA NINI IWE NI KWA NAFASI YA KONSTEBO NA KOPLO TU? KWA NINI ISIWE NA NGAZI YA MKAGUZI MSAIDIZI AMBAKO UFU MWINGI TU UMEFANYIKA? Anajua akigusa huko atakuwa affected yeye pia, waziri ataguswa, Naibu katibu mkuu na wakurugenzi wake wote wataguswa na kuwa affected..ndio maana anawatoa mhanga Idara ya Uhamiaji peke yao lakini ingekuwa fair kama ajira zote hizi zingesitishwa halafu iundwe tume huru ambayo haiundwi na katibu Mkuu..Yeye ndo muhusika mkuu..ushaona wapi mwizi anajichunguza?...changa la macho...wenye akili wamenipata.
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom