Aibu kubwa;waliotaka kuuziwa nyumba za nhc wote wana nyumba zaidi ya2 wamepangisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu kubwa;waliotaka kuuziwa nyumba za nhc wote wana nyumba zaidi ya2 wamepangisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 14, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Kama ni vituko basi hili shirika kila leo linakuja na yake
  jana kama mmesoma gazeti la nipashe kuna kituko jamaa ameenda wizara ya ardhi akapeleka majina
  ya watu waliokuwa wakipiga keele za kuuziwa nyumba za nhc..baya zaidi mwenyekiti wa waliokuwa
  wakipiga kelele bwana gwao amekutwa na nyumba zaid ya 2 kapangisha tena masaki na nyingine msasani
  hawa wahuni wanataka kuifanya nhc sehemu ya kuchumia maisha yao

  sidhan kama mkurugenzi utaendelea kuwaachia hawa wake humo ni kosa la jinai kuna mwingine
  kama mlimwona alikuwa akipiga sana kelele pale kwenye mkutano ...huyu bwana ameorodhoshewa nyumba
  zake 3 ajaamini mpaka sasa na ukiacha hizo mbili nae yeye anamiliki mbili za nhc moja iko ilala nyingine iko upanga ya ilala kampa mwanae ndio amekaa na familia..wachilia hayo naomba nitawaletea list mchana ya vioja vya wote waliokuwa wakipiga kelele za kuuziwa hizi nyumba...binafsi nasema shame on them..nhc imewekwa kwa ajili ya kuwasaidia wale waliokuwa na kipato cha chini wasio na sehemu za kulala sasa hawa majaaamaa wamejaza majumba

  mkurugenzi usiwaache tafadhali
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kula lazima ukubali na weeewweee uliwe kidogo, sasa wewe wataka kula tu......maneno ya kiranja mkuu hayo, sijui niliyasikia wapi vile...................
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani, inasikitisha sana kufahamu kwamba kumbe waombaji / wapangaji kuuziwa nyumba na NHC, wana nyumba wengine zaidi ya 2?
  Kweli mtu anaweza kuwa na nyumba zaidi ya 1 au 2 kwa bidiii zake mwenyewe kutokana na kipato chake Mungu alichomjaliia kwa kazi zake za halali. Lakini kama una nyumba ya NHC, na umepangisha mtu na wakati huo huo unataka uuziwe inakuwa kweli kuna UBINAFSI na KUTOTOSHEKA na ulivyo navyo ambapo kweli wanadamu wengi tuko hivyo. Ndugu zangu wa Tanzania walio wengi hawana uwezo na hawategemei leo wala kesho kujenga, tungewaachia nao wapate nafasi jamani hizi mali tutaziacha hapa hapa duniani tusihangaike kujilimbikizia hata kama tuna watoto na ndugu tufahamu kwamba wote njia ni moja tutaviacha hapa duniani.


   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Washindwe na walegee!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  mkuu majira ya jioni saa kama za saa mbili nitayaanika wazi nilishikwa na bumbu wazi nilipojua kumbe na jiran yangu nae ana nyumba nhc kapangisha mtu humo ndani loh...yangu machio embu tuwaachie vijana wanaoanza maisha jamani waanze kupata makazi kila siku ninyi ninyi upanga ninyi ilala ninyi porini akae nani?????
  Mbaya mwenyekiti wake kanimaliza kaulizwa kadai akaelezwe aliewaletea hizo info wakati watu wana copy za kutosha

  anyway ukiwa kama wewe unamwambia mungu awafanyaje hawa??
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  wakilegea wanakunywa dawa za gnld ama alovera wanarudi na kasi mpya wacha mungu awamalize tu cha muhimu wewe ni kuomba zile mali zao walizopangisha mungu azirejeshe kwako hilo ndilo lilobaki
   
 7. aye

  aye JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  duh kweli tamaa mbaya wanatakiwa wanyang'anywe wapewe ambao hawana naama si mali ya mtu binafsi ni mali ya mtanzania iyo.mwenyekiti kaumbuka balaa na tamaa zake
   
 8. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi najiuliza hawa kina Kanjibhai mbona ndo wao tu wanaishi kule upnga na kisutu? Nyumba hizi hakuna uwiano, hawa jamaa hawajengi kazi kutumia fursa ya umma kujinufaisha wao. Shame on them kwa kuwa wabinafsi, Mungu kawaumbua. Iandikwe petition kuwaondoa wale wote waliokaa zaidi ya miaka mitatu watoke waje sinza kulipia kodi kama sisi na sie tupate walau kuonja makazi huko Upanga. Nasikia wameanza hata kubadilisha majina ya mitaa kule Kisutu, "ulevi wa aina gani huu". Hongera Mchechu umeonyesha kuwa inawezekana, chondechonde serikali msijifanye mnampa promotion kumbe ndiyo njia ya kumuondoa kutimiza malengo yenu ya kufilisi mali za umma.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Wajanja wale,na wanajua kabisa system nzima imeoza ndo maana wanapayuka kutaka hizo nyumba bila aibu.Nji hii bana.
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  katafute kwenye biblia amliemchungulia babake AKIWA UCHI utajua kwa nini siisi tunamalizia maisha kibamba kongowe na wengine upanga wamehama ilala magorofani wakifa wanachukua tax tu wanaweka kwenye gari wanaingia kisutu wewe???mpaka dar express aruhusu kubeba maiti ndido uende nyumbani...ee mungu mbona tupe msamaha kwa hili...
   
Loading...