Aibu kubwa: Rais Museveni aitisha maombi na kuomba COVID-19 iwaepuke Wahima na iue wapinzani wake

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
6,025
2,000
Katika hali ya kushangaza, kutia aibu na kusikitisha, Raisi Museveni ameitisha maombi ya nyumbani, ambapo yeye akiwa na mkewe wameonekana wakiongozwa maombi na muombaji ambaye aliomba kuwa wapinzani wa Museveni akina Besigye na Bobywine wafe kwa Korona.

Muombaji pia amesikika akiomba kuwa Wahima wanusurike, Muombaji anasikika akisema kuwa kama jinsi wahima walivyobarikiwa ng'ombe wengi n. k basi na hii korona iwaepuke.

MY TAKE: Hii siyo conspiracy theory, ni dhahiri kuwa wale waliokuwa wakisema kuwa agenda ya BAHIMA haipo wanajidanganya.

Kumbe hawa watu wana chuki kali dhidi ya watu wasio wahima, na maombi haya yamenifanya nimdharau Museveni, kumbe ni mzee hovyo kabisa asiye na maana

Watanzania tuwe makini sana na hswa watu wa Asili ya UHIMA, kumbe yaliyo mioyoni mwao ni mabaya kabisa.

Hii video imemuumbua huyu mzee.

Huyu mzee alikuwa anajifanya mpambanaji mzuri wa Korona kumbe ana chuki kali ya Ukabila kifuani kwake.

Nawekea link ya hayo maombi, Hayapo kwa lugha ya Kiingereza wala Kiswahili lakini kwa watu wa jamii za Kiganda, Kiha, Kihaya, Kinyarwanda au za kibantu katika maeneo ya maziwa makuu unaweza kuyaelewa.

Papi Chulo

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
5,159
2,000
Ukimuona mtu anasema MUNGU YUKO BUSY basi ujue huyo dish limeyumba tayari

😀😀
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,969
2,000
Katika hali ya kushangaza, kutia aibu na kusikitisha, Raisi Museveni ameitisha maombi ya nyumbani, ambapo yeye akiwa na mkewe wameonekana wakiongozwa maombi na muombaji ambaye aliomba kuwa wapinzani wa Museveni akina Besigye na Bobywine wafe kwa Korona.

Muombaji pia amesikika akiomba kuwa Wahima wanusurike, Muombaji anasikika akisema kuwa kama jinsi wahima walivyobarikiwa ng'ombe wengi n. k basi na hii korona iwaepuke.

MY TAKE: Hii siyo conspiracy theory, ni dhahiri kuwa wale waliokuwa wakisema kuwa agenda ya BAHIMA haipo wanajidanganya.

Kumbe hawa watu wana chuki kali dhidi ya watu wasio wahima, na maombi haya yamenifanya nimdharau Museveni, kumbe ni mzee hovyo kabisa asiye na maana

Watanzania tuwe makini sana na hswa watu wa Asili ya UHIMA, kumbe yaliyo mioyoni mwao ni mabaya kabisa.

Hii video imemuumbua huyu mzee.

Huyu mzee alikuwa anajifanya mpambanaji mzuri wa Korona kumbe ana chuki kali ya Ukabila kifuani kwake.

Nawekea link ya hayo maombi, Hayapo kwa lugha ya Kiingereza wala Kiswahili lakini kwa watu wa jamii za Kiganda, Kiha, Kihaya, Kinyarwanda au za kibantu katika maeneo ya maziwa makuu unaweza kuyaelewa.

M7 hawezi kufanya upuuzi kama huo ni mtu anae amini sana sayansi kuliko Dini hizo ni propaganda tu ambazo hazina uthubitisho wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom