Aibu kubwa CCM -- kukimbiwa na Diwani wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu kubwa CCM -- kukimbiwa na Diwani wake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jan 7, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Makamba uko wapi? Uko enzi gani -- enzi za Mchonga? Huoni kabisa CCM yako inapukutika kutokana na udhalimu, ufisadi na kukiuka haki?

  Au utasema mlisahau kumhonga huyo Diwani abakie CCM? Speak up man -- you are really finished!! KAPUT kabisa!!!!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  na huu ni mwanzo tu watatafutana sana sasa hvi na ndio wameshalikoroga
   
 3. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, umeanza vizuri ukamalizia vibaya. Unataka madiwani wa sisiemu wagawane hongo ili tuendelee kunyanyasika? Madiwani wote wa sisiemu hameni hata kama mtahongwa, onyesheni uzalendo!
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0


  Incomplete information tujuzeni vyema kahama Diwani wapi na nani?
   
 5. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Diwani kutoka katika kipindi hiki kinawaweka pagumu ccm huko arusha na kuashiria kuwa moto haujaisha
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani hao kina Slaa, Mbowe na wengine wote, wametokea wapi? walishushwa kutoka Mbinguni kwa uzi wa buibui? Si walitokea CCM?

  Magugu uyaache kwenye shamba? kuna mazao hapo?
   
 7. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanadhani ni enzi zile walipokuwa wanaropokaropoka tu na wananchi wanakaa kimya! This is a new phase!!!
   
 8. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Gazeti la Mwananchi (jana) lina habari ya Mh Mawazo ambaye alihamia CCM mapema mwaka juzi akitokea TLP akiwa diwani wa kata hiyo, alisema kwa muda mrefu amekuwa akiunga mkono sera za Chadema na sera binafsi za aliyekuwa mgombea wa urais wa chama hicho, Dk Willibroad Slaa.

  "Naomba niwaeleze wazi kuwa hata katika Uchaguzi Mkuu ingawa mimi nilikuwa mgombea wa udiwani wa CCM, nilimchagua Dk Slaa kwa nafasi ya urais," alisema Mawazo katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Dk Slaa.

  Swali langu je ni wangapi ambao wapo CCM ambao ama ni wanachama wa kawaida, au ni wabunge, mawaziri, watumishi wa chama wanaounga mkono hoja za Dr W. Slaa (CDM), au Prof I Lipumba (CUF)? Kama kweli kuna watu kama Mh Mawazo ndani ya CCM na ni sizable enough, basi ndani ya bunge la JMT, the majority sio CCM. Kama ikipigwa kura ya kutokuwa na imani na rais inaweza kupita.

  Watu wanaanza kuelewa, kuamua na kutenda.
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Siyo hii CCM; au unadhani CCM ni nyumba? Chama cha siasa siyo Nyumba wala jina walojiita, unaweza ukakuta hiyo CCM unayoisema wewe haipo kabisa au imekufa au ndio CUF au ndio NCCR au TLP au ndio CDM; chama ni Itikadi, Viongozi wake, wanachama wake, katiba yake, taratibu zake za kuiongoza nchni;
  Mathalan,
  Zamani wakati Mwl Nyerere, CCM ya wakati huo ilikuwa na utaratibu wa kupishanisha wagombea Urais wa Muungano, kwamba Rais aliyepita akitoka Bara awamu inayofuata wanachama wa Bara hawajitokezi wana waachia wanachama wa Zenji, lakini utaratibu huo ulishindikana baada ya hiyo CCM ya wakati ule kufa, hii mpya haina utaratibu huo;

  au kwa fikira zako

  Unadhani leo hii Kikwete na Ridhiwani wakijitoa CCM hii ya sasa na kuunda chama chao cha siasa, Mwenyekiti Kikwete, katibu Makamba, Mweka hazina yule wa CCM hii 2005/6, katibu wa vijana Ridhiwani na Mwenyekiti wa Vijana Beno; lete matoke yako ya uchaguzi wa Rais kama uko timamu na ni Mtanzania maana nisije nikawa napoteza muda kuelimisha Mhajemi au M-Iraq au M-india au M-.....mwenye asili ya CCM
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama unayajuwa hayo, kinachokushangaza nini ikiwa mmoja au mwingine atahama CCM na kwenda kwingine, hali kadhalika tumeona wengi tu wakiondoka vyama vingine na kurudi CCM, Maghimbi?
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Tunamungoje Sitta kwa hamu!!
   
 12. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  huyu jamaa siku zote alikuwa mpinzani so sioni cha ajabu. Alikuwa diwani wa upinzani ndipo mbunge na katibu wa ccm wakamnunua hivyo nahisi yule yule mbunge kamnunua arudie upinzani. si mnajua mbunge mrema na mzee kileo bado wana chuki binafsi
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,031
  Trophy Points: 280
  Sizitaki mbichi hizi.
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  wanasema changes come from within... hata slaa alitoka huko huko baada ya kushindwa kuvumilia uozo.

  bado tunamsubiri sitta nae achomoke huko.. ukiwa na mapenzi na taifa hili huwezi kua ndani ya ccm katu
   
 15. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,063
  Trophy Points: 280
  Wameisha zoea aibu hao,... hata uwaambieje!!
  We angalia kuna aibu gani kubwa kwa chama kama CCM kuwa na Mwenyekiti mbovu kama Kikwete! yaani eti CCM nzima JK ndio JINIASI!!!! Aibu, aibu, ilhali ni kimeo cha karne!!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Wapo wengi lakini wanavumilia uozo ndani ya chama chao...........wapo kimaslahi zaidi!
   
Loading...