Aibu: Kama data hizi za BOT ni za kweli basi Rais Magufuli na serikali yake hawana faida kwetu

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Leo kawaka kwa hasira huku akitupa vijembe vyake na kuonekana kama mtu anayejali soko la wakulima lijiendeshe lenyewe weka demands and supply contrary kwa yale aliyoyafanya kwenye korosho, mbaazi, zabibu na anayoendelea kuyafanya kwenye pamba na kahawa
Kumbe report ya BOT

Inamuumbua, mahindi yapo mikononi mwa wafanyabiashara huyo mkulima anayejifanya kumtetea hafaidiki chochote kwa sasa, serikali yake in allaergy ya kununua akiba ya chakula na kujaza stocks,

HIVI KIPAUMBELE CHA HAWA JAMAA WA AWAMU YA TANO UKIACHIA KUJIMWAMAMBAFAI NA UKIFUTU NI UPI?
Nchi yoyote inahitaji usalama wa raia na usalama wa chakula, vyote hapa kwa awamu hii ni tatizo na majibu

Yanayotolewa yamekaa kibashitebashite sana kwelikweli
CHAKULA HAKUNA .png
 
Haha , utashangaa siku ya kuondoka atakana yote hayo mnayoyaona leo,na atajisafisha balaaa
 
Tusipende kuitukana Serkali ina mkono mrefu
hii awamu ya tano kwa nini haipendi hata kujza ghala la taifa wao kwetu kumpiga kikwete vijembe na kujifanya wamefanya maajabu kumbe ni in a negative way.angalia akiba ilivyoporomoka TOKA TANI 452,000 MWEZI MARCH 2015 HADI 78,000 MARCH 2019,KWA NINI HANUNUNI VYAKULA NA KUJAZA MAGHALA,WANA PLAN GANI HAWA WATU?:mad::confused::(
 
Hivi ulitamani gunia la mahindi liwe buku au milioni? Toa maoni yako kwa hapo?
Korosho mkulima mkimpa buku kwa kilo akigoma atazila? Hazina soko hapa kwetu
 
Wasioelewa wale wapambe wa kusifia hata hawaelewi kinachoendelea.Yaani JPM hajamsaidia mkulima hata tone awamu ya 4 NRFA walikua wananunua mahindi mpaka sh 500 kilo na huko ndipo kumuwezesha mwananchi.Huyu bwana hawapi NRFA pesa za kununua mazao, matokeo yake wakulima wamekata tamaa kulima mahindi wanalima maharage na alizeti tuu.Sasa leo anawadanganya eti hata panga bei ya mazao wakati korosho tumbaku pamba wameshapata hasara
PASKALI mayalla
@m.m.mwanakijiji
 
Aiseee !!
 
hii awamu ya tano kwa nini haipendi hata kujza ghala la taifa wao kwetu kumpiga kikwete vijembe na kujifanya wamefanya maajabu kumbe ni in a negative way.angalia akiba ilivyoporomoka TOKA TANI 452,000 MWEZI MARCH 2015 HADI 78,000 MARCH 2019,KWA NINI HANUNUNI VYAKULA NA KUJAZA MAGHALA,WANA PLAN GANI HAWA WATU?:mad::confused::(
Tumebadilisha methods of approach.
 
Ni hatari sana kuuingiza Ugali (mahindi) kwenye soko huria aisee ni hatari...ni hatari kubwa!!

Yaani ugali ndiyo kila kitu...
 
Hawa wanachojua ni kuteka na kuua wakosoaji wao na kujimwambafai mbele ya camera kwa takwimu za uongo.
Leo kawaka kwa hasira huku akitupa vijembe vyake na kuonekana kama mtu anayejali soko la wakulima lijiendeshe lenyewe wka demands and supply contrary kwa yale aliyoyafanya kwenye korosho,mbaazi,zabibu na anayoendelea kuyafanya kwenye pamba na kahawa
Kumbe report ya BOT inamuumbua,mahindi yapo mikononi mwa wafanyabiashara huyo mkulima anayejifanya kumtetea hafaidiki chochote kwa sasa,serikali yake in allaergy ya kununua akiba ya chakula na kujaza stocks,HIVI KIPAUMBELE CHA HAWA JAMAA WA AWAMU YA TANI UKIACHIA KUJIMWAMAMBAFAI NA UKIFUTU NI UPI?
Nnchi yoyote inahitaji usalama wa raia na usalama wa chakula,vyote hapa kwa awamu hii ni tatizo na majibu yanayotolewa yamekaa kibashitebashite sana kisenge rema kwelikweli
View attachment 1267811
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom