Aibu iwapate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu iwapate

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kakuruvi, Nov 2, 2010.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hesabu ndio somo linaloogopewa na wanafunzi wengi ndio maana wanalikwepa pamoja na umuhimun wake kila sekta, sipati picha cha kinachofanya matokeo yashindwe kutangazwa sehemu nyingi wakati hesabu ya uchaguzi ni kujumlisha labda na kutoa kiasi, ina maana wasimamizi hawajui kujumlisha na kutoa? kazi kwelikweli! subira yavuta kheri ila kheri ikichelewa NEC na wasimamizi aibu na iwapate mpaka sasa Ubungo bado..
   
 2. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sehemu nyingine wamesingizia miundo mbinu na hapa mjini je, miundo chakachua?
   
Loading...