Aibu hii ya Madagascar Mbona inafichwa? Serikali iache siasa kwenye afya Zetu

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,795
71,214
Nimeikuta habari hii kwenye jukwaa la kimataifa imefichwa huko.

Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

Lakini kwa zile mbwembwe za serikali yetu kuhusu mapambano ya corona na sifa za Rais kuhusu dawa iliyogunduliwa Madagascar matukio yanayo endelea huko yalipaswa yasiwe siri bali wazi na kutangaza kabisa kuwa dawa hiyo ilikuwa fake na tumepata hasara kiasi gani kuifatilia.

Nakumbuka Kabudi aliporudi na kuitisha press conference kuelezea ujio wa dawa hiyo ilikuwa kama sherehe ya ushindi na wataalamu watafiti wengi waliitwa kutoa ushuhuda wa kumsifia Magufuli kuwa ana MAONO na kuhusu dawa hiyo ameona mbali sana kuliko WHO.

Leo kiko wapi kama hiyo dawa imeshindwa kuwaponya hata walio igundua mpaka wanajifungia ndani? Ni vema Leo Magufuli wakati ana "chaguliwa" kwa kishindo na CCM kupeperusha bendera yao aombe radhi kwa kutudanganya kuhusu dawa hiyo na kututia hasara huku akiweka maisha ya RAIA hatarini.

tapatalk_1594432187434.jpg
tapatalk_1594432164330.jpg
tapatalk_1594432176036.jpg
tapatalk_1594431761273.jpg
Picha ya mwisho haihusiani Ila ni bonas ya habari husika katika kuamini dawa fake
 
Ni kweli inaonekana kikombe cha Madagascar kimebuma. Maambukizi ya Covid-19 yanaongezeka kwa kasi, zaidi ya watu 4,000 wameambukizwa tangu watangaze kugundua hicho kikombe.
Rais wetu alifanya haraka mno kuamini dawa ambayo bado ilikuwa haijathibitika kama kweli ina uwezo wa kufubaza virusi ya corona.
 
Huyu jamaa hana uwezo wa kutatua majanga ya kitaifa.
 
Nimecheka Sana...dah..hii nchi hufi kwa stress
 
Huu ni ushenzi mtupu! Sasa hivi naangalia BBC kuna documentary ya CORONA QUACKS in Ghana, exactly kama ushenzi huu wa Madagascar na Jiwe/Kabudi. Two people have been seized of concoctions in which toxicology studies found that toxicity was above safety levels after testing in one of the best labs in Ghana!
 
Ni kweli inaonekana kikombe cha Madagascar kimebuma. Maambukizi ya Covid-19 yanaongezeka kwa kasi, zaidi ya watu 4,000 wameambukizwa tangu watangaze kugundua hicho kikombe.
Rais wetu alifanya haraka mno kuamini dawa ambayo bado ilikuwa haijathibitika kama kweli ina uwezo wa kufubaza virusi ya corona.

Najiuliza sipati jibu kuwa ni kitu gani kilimsukuma msomi mkubwa kama Kabudi kunywa ile dawa isiyothibitishwa na vyombo husika kuwa ni dawa salama?
 
Aliyetuponya ni Mungu, sio dawa yeyote. Kule kusema kulikuwa na dawa toka Madagascar, ama kutoka NIMR, ama kupiga nyungu, nk ilikuwa ni kujijenga kisaikolojia tu. Kisaikolojia ukiwa sawa, Kinga ya mwili huji'boost' automatically. Kinga ya mwili ikiwa imara, COVID-19 tupa kule! Simple!

JESUS IS LORD!!!
 
Ni kweli inaonekana kikombe cha Madagascar kimebuma. Maambukizi ya Covid-19 yanaongezeka kwa kasi, zaidi ya watu 4,000 wameambukizwa tangu watangaze kugundua hicho kikombe.
Rais wetu alifanya haraka mno kuamini dawa ambayo bado ilikuwa haijathibitika kama kweli ina uwezo wa kufubaza virusi ya corona.

wewe pimbi, dunia nzima hakuna ambaye alikuwa na dawa, kuaminishwa hata wewe ungeteka watu wako wapone ( jinga wewe)

ujue pia kupona ni saikolojia ( learn this)
 
matusi ya nini sasa? You can drive home your arguments with gentleman's language!
By the way, kama una covid-19 or any other dangerous disease ukiaminishwa virus wanapotea?, bacteria wana vanish in thin air? cancer ina cease kusambaa? P. falciparum wanakufa?
 
Jamaa mbona unafeli. Kabudi dawa alinywea wapi na katika mazingira gani? Kabudi dawa alikunywa kisiasa kuionyesha dunia we support African initives against C19. Lkn aliweka wazi dawa haitatumika mpk Tz ifanyie utafiti hiyo formulae.
Wacha ujinga wewe,tatizo la kisayansi litatibiwa kisayansi sasa wewe unaleta story za eti za tatizo la kisayansi linatibiwa kwa kuonyesha eti we support African initiatives bla bla bla.
 
Jamaa mbona unafeli. Kabudi dawa alinywea wapi na katika mazingira gani? Kabudi dawa alikunywa kisiasa kuionyesha dunia we support African initives against C19. Lkn aliweka wazi dawa haitatumika mpk Tz ifanyie utafiti hiyo formulae.
Ni mikoa gani ya Tanzania iliyoathirika zaidi na corona?
 
Back
Top Bottom