binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 8,872
- 22,205
Oscar Awards,
I love you... there’s no second creation lazima tujifunze kukubali namna tulivyoumbwa.
I love you... there’s no second creation lazima tujifunze kukubali namna tulivyoumbwa.
Ahsante mkuuAisee uzidi kuwa na akili hyo, wengine ukilema tu wa wazazi wao ni kama laana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mbona leo mwandiko wa kiume wakati mimi huwa nadhani we wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
It was not all about looks. It was about everything mpendwa. It was too hard na hadi leo nawaona watoto wengine wakipitia niliyoyapitia. Huwa napasuka moyo hadi kulia yaani lini jamii yetu itakubali diversity and stop tormeting kids who are not fully aware about their own true self.
Sent using Jamii Forums mobile app
nikiwasimulia aibu zangu mimi wote mtakimbia huu uziUtakua na Wewe umeshaaibika na hivyo umepata ujasiri wa kujua mwandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa
Napita sasahivi naja kuwadondoshea storyKuna ule uzi wakulana kimasihara tuletee stori ya huyo madam au hukumla kimasihara
Napita sasahivi naja kuwadondoshea story
Mkuu nimekusoma na kukusoma tena, huoni unaweza kufanya kitu kupitia past experience yako? Kama unaishi near media houses unaweza hata kuomba ukafanya nao kipindi kwa nia ya kuelemisha hivi, sababu hii ni aina ya bullying hatuwezi jua inawaathiri wangapi wa aina hiyo.
Thanks loveI love you... there’s no second creation lazima tujifunze kukubali namna tulivyoumbwa.
Hapo kwenye Gongo nadhan kuna mambo umeficha! Unapewa ofa kwa ujira gan?
nimecheka mpk ofisi ya pili wamesikiaa, natamani niwe babako asee yan najua anafeel proud sana unavyomchunga
umefurahii mikasa ya ariananimecheka mpk ofisi ya pili wamesikiaa, natamani niwe babako asee yan najua anafeel proud sana unavyomchunga
Ukweli ni kuwa hiyo ni kama nightmare ambayo huwa haiishi. Inakupa damage kubwa ndani, nashukuru kwa upande wangu imenisaidia kuwa na big heart ila kwa asilimia kubwa huenda pabaya zaidi. Worse enough huwa ni kilio cha ndani kwa ndani, you have to fight a good fight just to remain stable or else unaweza commit suicide. Zamaradi is a nice woman with influence lakini she needs more back up, rejea interview yake na Kaoge ilivyochukuliwa negatively. She was left alone and helplessOhh ni kweli, nakuelewa. Basi angalau kila mzazi anayesoma hii ajitahidi kuelewa wanaopitia watoto wao na wajitahidi kuwajenga kisaikolojia, wewe umeovercome hili, hatuwezi jua linaleta damage gani kwa wengine.
Huwa namuona zamaradi kama ni mwanamke fulani very understanding kama anasoma hapa ajaribu kulifanya topic katika moja ya vipindi vyake, inaweza isilete maana lakini taratibu tutaelewana.