Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

CarloJesus

JF-Expert Member
Nov 5, 2019
431
833
Salaam wakuu

Miaka ya nyuma kidogo,baada ya kuacha kazi katika mazingira ambayo sikujiandaa vema,niliyumba sana,kiasi ilibidi nirudishe mpira kwa kipa...(nilirudi home kwa mzee)

Mzee Ni mkulima na mtu wa projects nyingi tu Kama nyuki na ufugaji
Akaniunganisha kwenye project ya Mpunga,ilikua kipindi Cha mavuno

Huko shamba tulikua na camp lakini senta Kuna nyumba kubwa tuu ambayo huwa tunalala na kuhifadhi mavuno kabla ya kuyaleta mjini,Ni Kama godown lakini pia kuna mazingira mazuri ya kulala na kuishi

Sasa bana huko shamba kwa sababu Sina uzoefu,mzee aliniweka chini ya jamaa mmoja hivi(huwa anamsaidia mzee kazi zake,lakini pia jamaa Ni dereva wa gari moja ya home inayohusika na hizi mambo ya shamba),huyu jamaa hajasoma...alikua ananiburuza Sana na kunidharau kiasi nkajiona Kama mzee amefanya makusudi kunidhalilisha

Jamaa alikua Hali chakula chetu Cha shamba,na Kuna muda anatoweka na gari anaenda kubeba gunia za watu,bado hatikumbuki hata shing'mia...zaidi tukiwa shamba,jamaa anawahadithia mademu vibarua kuwa mi si lolote si chochote

Siku moja jioni tumerudi,nkaonana na jamaa yangu wa siku nyingi Sana,stori hapa na hapa jamaa kasema twende tukapige gambe,nkaona sio issue,jamaa alikua na buku 10 ,nkamwmbia itatutosha ?jamaa kasema nisiwe na wasiwasi...hapa na hapa tukatokea kwenye viringe vya konyagi mwitu(gongo)

Tulitandika gongo Sana siku hiyo,mpaka saa nane sijarudi pale tunapoishi...merudi saa Tisa kasoro,nkaanza kumpa shit jamaa,nkamtukana Sana...hatukukaa Sana kumekucha,kumi na mbili asubuhi,jamaa kawasha gari tukiamshe shamba!Mimi muda huo gongo limenitepesha,halafu bado mwili hauko fresh,nna hangover ya ajabu

Nkamwita jamaa pembeni nkamwomba samahani asimtonye mshua,nkamwambia nibaki nipumzike ,jamaa kakubali

Huku nyuma sijui shetani gani kanipitia,nkaenda Tena kwenye kile kiringe,nkaamsha na chenchi alioniachia mshikaji,then nkarudi gheto

Mule getho kulikua na gunia Kama miambili hamsini 250 hivi za Mpunga,mi nkajua za mzee labda watu wamemkusanyia ...kumbe bana mtu aliomba kuziweka

Mimi na gongo ,tukasema mbona nateseka buree na mzigo umo ndani Tena jamaa wako shamba!

Basi kutafuta mteja huyu hapa,gunia zikaanza kusombwa kwa pikipiki,jirani pale kuna katoto kalishtukia,kumbe kanamfahamu mwenye Mpunga,asee...Niko nimebana sehemu,nkasikia bodaboda aliebeba gunia anapigiwa yowe ,nataka kuanza mbio...Mara watu hao wakaunga na Mimi,duh,

Bahati huyu mwenye Mpunga ananifahamu kuwa mtoto wa mzee,akanikingia kifua akasema huyu itakua Ni shetani tuu na pombe ndo vilimtuma haya...nkabebwa nkafungiwa stoo kwanza....Mara yule jamaa msaidizi wa kazi za mzee huyu hapa,asee jamaa akaamuru nifungwe kamba miguu na mikono,Kisha nkatupiwa kwenye bodi garini huko Kama mbuzi,kusema kweli nilipigwa Sana na sungu sungu,lakini maumivu makubwa ilikua majuto ya nililofanya,pombe ilikata

Nkawaza mzee atajisikiaje...vipi Jamii ya watu wanaoniamini...ilipocika jioni ,yule mwenye Mpunga aliamuru niachiliwe tuu yaishe,tayari nilikua Nimesukuma gunia nne na pesa mfukoni,mzee kapiga simu nirudi nyumbani,nkapandishwa bajaji,nilipofika mjini,sikua na amani
..nilipotelea mbali,ntakuja kueleza siku moja...baada ya kuhangaika Sana,nikapata taarifa mzee ananitafuta Sana na ananisihi nirudi na yeye Anajua sio akili yangu,nkagoma kurudi...Mwisho was siku mzee alinitrace mpaka akanipata...niliona huruma Sana siku hiyo...mzee alikua mwenye kusononeka kiasi chozi lilimtoka...tulirudi home .
.nkwa mtu was aibu Sana kiasi sikuweza kutoka home au kwenda kule shamba Tena....lakini leo Ni historia na namove one na maisha kama kawa

Tukio hili limekua benchmark yangu muhimu Sana ya kupambana na lolote mbele yangu hata Kama Ni la gharama ya kuniabisha...

Je Wewe unakumbuka lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu tunapambana nazo daily
ila Long time kipindi niko secondary usichana nmechipukia , nimeshuka kituo cha daladala namkuta mzee wangu amelewa mpaka amezima nilijiskia aibu isiyo kifani kidogo nihame home halafu mzee hakuna asiemjua , mi ndo sistaduu nime match mpaka begi.
Ila huwezi amini moyo umekufa ganzi kiasi hata saa hii naongozanaga nae amelewa tiralila niko okay tu i dont give a fnck...Nishamchukulia kama alivyo siuchoshi moyo wangu. maana wanasema mzazi ni mzazi tu!
shame is a state of mind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
 
pole mkuu

Mungu Ni Mwema Sana kutuumbia Hali ya kuyachukua Mambo jinsi yalivyo

ukipingana nayo utaumia sana.
Tangu nmekubaliana na hali nikaanza kuishi kwa amani na ujasiri , pia nafikiri ndio maana huwa sidharau mtu vyovyote alivyo naona ni sawa , kama nataka kumtoa mtoto wa mtu mapungufu basi nianze na baba angu mzazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
Hahah, ulitisha mkuu japo hatutofautiani sana
 
Kipindi nikiwa mwajiriwa wa serikali halimashauri flani (Jina kapuni) ilikuja barua ya uteuzi mimi kwenda halmashauri flani mkoa wa Ruvuma kuwa mkuu wa idara. Nilitoka kwa mbwembwe sana na majigambo ya kutosha kwenye halmashauri ile niliyokuwa nafanya kazi mwanzo, na kama mjuavyo ukipata kuwa mkuu wa idara Halmashauri Ngoma inasoma ndefu sana kwenye bank account, sasa kufika kule nakuta yupo tayari mtu na nilipohoji nikaambiwa ya kuwa uteuzi wangu umesitishwa.

Daaah, mwili ulilowa chapa chapa kwa jasho. Ikabidi niombe likizo bila malipo ili kukwepa aibu hii mujarabu na kutumia muda huo kutafuta kazi private companies & NGOs huku nikianza kujiandaa kiakili kufanya shughuli zangu binafsi. Namshukuru Mungu harakat & mipango hiyo ilifanikiwa na kunipa nguvu ya kurudi tena kuomba kuacha kazi ya serikali huku nikiwa kifua mbele
 
Asee kumbe ilikua namna ya kupanua uwezo wako wa kufikiri zaidi kutafuta changamoto mpya...safii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu tunapambana nazo daily
ila Long time kipindi niko secondary usichana nmechipukia , nimeshuka kituo cha daladala namkuta mzee wangu amelewa mpaka amezima nilijiskia aibu isiyo kifani kidogo nihame home halafu mzee hakuna asiemjua , mi ndo sistaduu nime match mpaka begi.
Ila huwezi amini moyo umekufa ganzi kiasi hata saa hii naongozanaga nae amelewa tiralila niko okay tu i dont give a fnck...Nishamchukulia kama alivyo siuchoshi moyo wangu. maana wanasema mzazi ni mzazi tu!
shame is a state of mind

Sent using Jamii Forums mobile app

Hio ni sahihi mzazi ni mzazi tuu mkuu...👍👍👍👍👍

umenichekesha una match hadi begi🤣🤣🤣
 
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge

Viwanja vya bunge🤣🤣
 
Unacho cha kuhadithia sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom