Aibu chuo cha usimamizi wa fedha (ifm)

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Wanabodi.
Jana Mchana nilipata nafasi kumtembelea kaka sister yangu hapo IFM. ghafla nilibanwa na kahaja kadodogo.
Nilichokutana huko ni vigumu kukieleza.
Kwa ufupi choo cha akina dada warembo floor ya kwanza ambayo nimeambiwa wanaishi watu wazima (Master) hamna kabisa maji.Ukitaka kwenda haja itabidi utafute maji nje. kwa kweli ni sehemu chafu sana ni hatari kwa afya ya warembo hao. Unaweza kufafanisha kama choo cha baa. na sio sehemu ya wasomi.
inasemekana huu mwezi wa 5 maji hayatoki, wanadai tatizo ni dogo sana lkn kutojali kwa wakuu ndio kumefikia haya. wanadai washazungumza sana na wahusika, lkn hakuna anaejali na hakuna dalili ya uongozi wa kulitatua.kwa
TUNAJIULIZA.
SASA ALIEPEWA JUKUMU HILI DOGO ANASHINDWA KULITEKELEZA, AKIPEWA TAASISI NYETI KAMA YA UMEME.
NCHI INAWEZA KUKAA GIZANI BILA YA KUJALI?
KUNA TAFUTI GANI YA UONGOZI WA WASOMI NA UONGOZI WA WAUZA SAMAKI FERI?
 
Kama wana chuo wa hapo IFM tatizo la choo siyo issue kwao, weye mpita njia kinachokusumbua ni nini hadi uwasemee?
 
Jibu lako linaonesha kama wewe ndiye mhusika mkuu wa hilo tatizo hapo IFM.
 
kama tatizo hili litaachwa kipindupindu kitatokea tu
 
Halafu hawa wanachuo wakigoma wapigwa mabomu. This country bwana hadi wafanye kama ikwiriri ndo watu watashtuka!
 
Kama wana chuo wa hapo IFM tatizo la choo siyo issue kwao, weye mpita njia kinachokusumbua ni nini hadi uwasemee?

Kwamfano wewe una kabint kako ka miaka 14 then unasikia mie nakaparamia, hutasema kwasababu kenyewe hakajalalamika? hebu jamani tuanze kuwa responsible ukiona mtu anaharibu mkemee sio useme haikuhusu, humu ni room for great thinkers kama hupati wenzako nenda kwenye jamvi la shigongo
 
Utamaduni wa wengi Tanzania ni kuwa choo ni sehemu chafu na hapapaswi kuwa pasafi. Wako very wrong chooni ndio kunatakiwa kuwe pasafi kuliko sehemu yoyote ile.
 
ada kubwaaa huduma finyu, sijui elimu wanayopewa katika mazingira hayo kama itakua na ubora kweli!??

au ndo tuseme wao kazi yao ni kusimamia fedha tu hayo ya usafi hayawahusu??


AIBU sana
 
Back
Top Bottom