Ahukumiwa jela miaka 10 kwa kuukashifu Uislam Facebook

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Mtu mmoja nchini Malaysia amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 10 gerezani kwa kosa la kuukashifu Uislam na Mtume Muhammad katika mtandao wa kijamii

Chanzo: Al Jazeera

A Malaysian has been sentenced to more than 10 years in jail and three others have been charged over insults against Islam and the Prophet Muhammad on social media.

The sentence of 10 years and 10 months is believed to be the harshest such penalty on record in the Muslim-majority country.

Inspector General of Police Mohamad Fuzi Harun said in a statement on Saturday that the person, identified only as Facebook user "Ayea Yea", had pleaded guilty to 10 charges of anti-religious activity and misusing communication networks.
 
MWENYEZI MUNGU Aliichoma kwa moto sodoma na gomora kwa dhambi Ambayo huku kwetu uswazi inaitwa mchezo wa kisilamu!; cha ajabu watu hawaja KOMA wanaendelea kupumuliana...itakuwa hilo???

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu zingine unaitwa mchezo kikristo! Papa anauita mchezo kitimoto.
Link ‘It Is Not a Closet. It Is a Cage.’ Gay Catholic Priests Speak Out

Link2. Gay Priests and the Lives They No Longer Want to Hide

Link3. Four in five Vatican priests are gay, book claims
 
Mtu mmoja nchini Malaysia amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 10 gerezani kwa kosa la kuukashifu Uislam na Mtume Muhammad katika mtandao wa kijamii

Chanzo: Al Jazeera

A Malaysian has been sentenced to more than 10 years in jail and three others have been charged over insults against Islam and the Prophet Muhammad on social media.

The sentence of 10 years and 10 months is believed to be the harshest such penalty on record in the Muslim-majority country.

Inspector General of Police Mohamad Fuzi Harun said in a statement on Saturday that the person, identified only as Facebook user "Ayea Yea", had pleaded guilty to 10 charges of anti-religious activity and misusing communication networks.
Kamkashifu nini huyo marehemu muhamad na uislam wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, aisee kweli nimeamini Jamii Forum kuna great thinkers ambao daily wao ni kutafuta point ndogo kuwaumiza nafsi wengine. Ishu ni mtu kufungwa miaka 10 kwa kuukashfu uislam fb. Hizo ni sheria za hiyo nchi. Badala ya watu kujadili mada kistaarabu, hekima na busara, bila kumkwaza mwingine na imani yake, great thinkers wanakuja na mada zingine tofauti, eti sodoma na gomora ikigharikishwa kwa sababu ya mchezo wa kiislamu, hivi ni kweli lkn. Tutafikika kwa mwendo huu. Mara sijui mtu anasema watu wa mnyaazi mungu.
Hakika, hatuwezi kujenga jamii yenye kuheshimiana, upendo na kujaliana kwa mwendo.
Kama kuna mtu anahisi waislamu wenzake wanamtosha na ahitaji ushirikiano wala msaada wa mkristo anyoshe kidole.
Kama pia kuna mkristo anahisi wakristo wenzake wanamtosha na ahitaji msaada wala ushirikiano na muislamu anyoshe kidole.

Nadhani tuwaze hivi, nahitaji kupanda gari la abiria, nihakikishe ni mtu wa dini yangu.

Nahitaji kwenda hospitali ni lazima hiyo hospitali na dokta atakayenitibu awe ni wa dini yangu. Hata uwe umebanwa vipi na malaria, ulizia kwanza huyo dokta ni wa dini gani.

Ukienda kupanga nyumba hakikisha huyo mwenye nyumba ni wa dini yako.

Hata wale unaowashirikisha kwenye mambo yako ya ndoa, wawe ni wa dini yako tu, usimshirikishe wa dini nyingine.

Hata ukifiwa, tangaza, wasio wa dini yangu ondokeni.

Na pia unapoenda kutafuta pa kuishi tafuta wanapoishi wale wa dini yako tu, ukishindwa nenda kaishi aidha msikitini au kanisani.

Na wale wazee wa kupenda mademu, hebj jaribu kutafuta wa dini yako basi.

Yapo mengi yanayotuleta pamoja, ila tunajifanya kama hatuyajui vile. Mwisho wa siku tunakuja kutukanana humu.
Hebu tukue basi. Hii jamii ni moja. Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio akome kukashifu dini za watu ktk nchi yenye imani ya dini.
Adhabu ndogo sana hyo alitakiwa apigwe mawe hadi kufa
Hiyo miaka 10 mbona midogo sanaa ilitakiwa 30
Aisee hapa Tanzania mbona Uislam unakashifiwa sana na mtume anatukanwa sana mbona hawachukuliwi hatua yoyote angalau hata kukemewa, Waislam mbona mnakaa kimya? Hata Zanzibar ambako ni 99% Waislam mtu akiukashifu uislam mbona hata hakemewi?
 
Back
Top Bottom