Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa angalau mvua zimeanza kunyesha katika viunga vya mkoa wa Morogoro hasa Wilaya ya Kilosa. Wakulima tulikuwa tukiwaza sana kutokana na ukame mkali uliokuwepo huku mbegu zikiwa zimeshapandwa.
Tuendelee na sala zetu ili mvua zaidi zinyeshe kila pande ya nchi hii, hasa sehemu zenye wakulima, ili Tanzania yetu isipatwe na baa la njaa linaloweza kutokana na ukame. Bado kama nchi, tegemezi kubwa lipo kwenye kilimo.
Kwingineko vipi imenyesha?