Ahsanteni Watanzania kwa Kumpuuza Jafo na Serikali Anayoitumikia

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,364
33,003
Kitendo cha Watanzania kubaki majumbani mwao kama vile hakuna uchaguzi unaofanyika kimenifanya kutafakari sana kilichoko mioyoni mwa Watanzania.

Kitendo hiki cha wananchi wengi zaidi ya 95% kutulia majumbani mwao kinamaanisha wamewapuuza wale waliodhani Watanzania ni wapumbavu wanaoweza kupelekeshwa na wakoloni weusi kadri watakavyo.

Hongereni sana Watanzania kwa kuwapuuza hawa walaghai walionificha kwenye koti la uzalendo. Namshangaa mkuu wa nchi anasema mjumbe wa mtaa wake amepita bila kupingwa na yeye yupo comfortable kabisa kama compound ya HCl.

"In CHADEMA We Trust"
 
Back
Top Bottom