Ahsanteni wakazi wa Dar es Salaam kwa kuupokea mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (UDA-RT)

Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,813
Likes
13,869
Points
280
Age
34
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,813 13,869 280
Wadau, amani iwe kwenu.

Hakika haikuwa lelemama kwa mradi wa Mabasi yaendayo Haraka kuanza kazi. Zipo changamoto za msingi ambazo zilijitokeza ambazo kwa hakika zilihitaji ufumbuzi wa lazima. Moja ya changamoto hizo ni suala zima la gharama za nauli ambapo awali nauli iliyokuwa imetangazwa haikuwa rafiki kwa wana Dar es Salaam. Nimpongeze Waziri Mkuu kwa kulisimamia hilo na kwa hakika wana Dar es Salaam wana kila sababu ya kumshukuru.

Pamoja na zile changamoto za msingi, mradi huo ulikuwa na figisu figisu nyingi huku vijana wa UKAWA wakijipanga kwa zamu kuhakikisha kuwa wanaweka mitandaoni kila aina ya uzushi wakilenga kuupinga mradi huo. Miongoni mwa uzushi huo ni pamoja na aina ya mabasi yaliyoagizwa kwamba hayana milango ya kutosha na milango yake haijakaa sawa kwa madai kuwa milango ipo juu mno. Kwamba mabasi hayo hayana ubora wowote na hayafai. Kwamba kuna harufu ya ufisadi kwenye mradi huo.

Wengine walikuja na hekaya kwamba mradi huo ni mali binafsi ya familia ya Jakaya. Wengine wakaja na hekaye eti muda unaotumika kwa magari hayo hauendani na dhana kuwa ni mabasi yaendayo Haraka.

Muda sasa umepita na changamoto za msingi zimepatiwa ufumbuzi. Hata wale ndugu zangu waliokuwa wanaukebehi mradi huo wameacha kuanzisha mijadala ya kipuuzi. Kwa ujumla wameukubali na wanakubaliana na Mzee Mwinyi kuwa Mabasi hayo ni URODA.

Niwaombe sana ndugu zangu wa UKAWA ambao mnapinga kila kitu. Kwamba, wakati ndio huamua siku zote. Kelele zenu na majungu yenu huwa yanafika wakati yanashindwa kufanya kazi. Oneni sasa mnavyoumbuka. Mradi huooooo unafanya kazi na una manufaa makubwa kwa wana Dar es Salaam.

Lazima tuheshimiane.
 
Petro E. Mselewa

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
8,310
Likes
13,332
Points
280
Petro E. Mselewa

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined Dec 27, 2012
8,310 13,332 280
Tumekusikia. Halafu Lizaboni ,kwanini huwa ni mzushi sana unapozungumzia mtu binafsi? Mfano,umezusha jana tu humu kumhusu Wilfred Lwakatare. Nani anakulinda humu na uzushi wako? Kwa maslahi ya nani?
 
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
9,316
Likes
6,305
Points
280
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
9,316 6,305 280
Kama sijaelewa vile,hebu ngoja nisome tena!
 
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Messages
7,965
Likes
5,798
Points
280
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2014
7,965 5,798 280
hivi huyu lizaboni yupo, sijamsikia kipindi kirefu, nilihisi kaukwaa ukuu wa wilaya
 
M

Mssassou

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2015
Messages
1,540
Likes
237
Points
160
M

Mssassou

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2015
1,540 237 160
UMEANDIKA KISHABIKI
 
M

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
1,746
Likes
240
Points
160
M

mtengwa

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
1,746 240 160
Kazi ni kazi aisee. Ila Lizaboni utakua unaifurahia sana kazi yako. Unapepewa na kiyoyozi, Una internet access unaperuzi social networks ukiifanya kazi ya kuitetea CCM na Serikali pamoja na kuwaponda wapinzani wake. Uzuri wa Kazi ni kuipenda kazi yako. Well done mkuu
 
Africa one

Africa one

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
235
Likes
52
Points
45
Africa one

Africa one

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
235 52 45
Hivi bado wilaya gani haijapata mkuu wa wilaya vile?
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,813
Likes
13,869
Points
280
Age
34
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,813 13,869 280
Sijawahi kuzusha na sina sababu yamkuzusha. Nilichoandika kwenye ule uzi ndio uhalisia. Lete hoja kuhusu uzi huu
Tumekusikia. Halafu Lizaboni ,kwanini huwa ni mzushi sana unapozungumzia mtu binafsi? Mfano,umezusha jana tu humu kumhusu Wilfred Lwakatare. Nani anakulinda humu na uzushi wako? Kwa maslahi ya nani?
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,813
Likes
13,869
Points
280
Age
34
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,813 13,869 280
Kazi ni kazi aisee. Ila Lizaboni utakua unaifurahia sana kazi yako. Unapepewa na kiyoyozi, Una internet access unaperuzi social networks ukiifanya kazi ya kuitetea CCM na Serikali pamoja na kuwaponda wapinzani wake. Uzuri wa Kazi ni kuipenda kazi yako. Well done mkuu
Safi sana Mkuu. Unajua kuna wengine wanadharau sana kazi za watu. Hizo Buku saba wanazozidharau wao wanazitafuta. Hapa Kazi Tu
 
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Messages
4,620
Likes
5,345
Points
280
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2015
4,620 5,345 280
Acha ushabiki uchwara,kuhusu ubora wa hizi basi ni kweli hazina ubora....
 
mndorwe

mndorwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Messages
2,478
Likes
815
Points
280
mndorwe

mndorwe

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2014
2,478 815 280
Yaan dada lizaboni uko vizur.......leo hujaleta uzi wa kumuattack mtu personaly ...hongera sanaa...vip kagame uliyekuwa unampinga naona kapewa shavu na mfalme ,sijui una maoni gan....nasikia mheshimiwa sasa anaendesha nchi kwa kutumia mawazo yake......
 
D

dejan

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
209
Likes
124
Points
60
D

dejan

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
209 124 60
watanzania tupende vya kwetu mradi ni mzuri wote tuwe mabalozi wema wa kuusimamia vizuri, serikali imejitahidi kuleta mradi huu watu wanafika sehemu wanayoenda kwa kutumia hayo mabasi, hongera serikali kwa mradi huu mzuri
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,813
Likes
13,869
Points
280
Age
34
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,813 13,869 280
watanzania tupende vya kwetu mradi ni mzuri wote tuwe mabalozi wema wa kuusimamia vizuri, serikali imejitahidi kuleta mradi huu watu wanafika sehemu wanayoenda kwa kutumia hayo mabasi, hongera serikali kwa mradi huu mzuri
Nakubaliana na wewe Mkuu. Hakika mradi ni mzuri na manufaa yake yanaonekana
 
M

mzalendo15

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
1,367
Likes
1,005
Points
280
M

mzalendo15

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
1,367 1,005 280
watanzania tupende vya kwetu mradi ni mzuri wote tuwe mabalozi wema wa kuusimamia vizuri, serikali imejitahidi kuleta mradi huu watu wanafika sehemu
wanayoenda kwa kutumia hayo mabasi,
hongera serikali kwa mradi huu mzuri[/
QUOTE]

Chanzo cha watanzania kuuchukia huu mradi ni kutokana na kuwa na makandokando mengi na familia za viongozi fulani serikalini kujimilikisha hisa za mwananchi kinyemela ndii maana bado hatuna imani kabisa na wanufaika wa huu mradi.
 
JAYJAY

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Messages
2,727
Likes
1,002
Points
280
JAYJAY

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2008
2,727 1,002 280
Makonda bad hajakukamata kwenye ile operesheni yake!?
 
O

Odili

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2015
Messages
1,700
Likes
1,134
Points
280
O

Odili

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2015
1,700 1,134 280
Tumekusikia. Halafu Lizaboni ,kwanini huwa ni mzushi sana unapozungumzia mtu binafsi? Mfano,umezusha jana tu humu kumhusu Wilfred Lwakatare. Nani anakulinda humu na uzushi wako? Kwa maslahi ya nani?
Analindwa na kina Maxence Melo mkuu we huoni sisi wanachama wa kawaida ukianzisha uzi wowote ukimgusa fisiem yeyote unafutwa haraka sana lakini huyu jamaa yao chochote atakachokizusha inakua hewala mkusanya nauli. Jf ifike mahala iache double standards.

Najua mods wataifuta comment hii kama kawaida yao.

Adumu mkusanya nauli.
 
Forum statistics

Threads 1,238,902
Members 476,226
Posts 29,336,217