kipekee napenda kuwapongeza kwa dhati wapinzani wa nchi Hii kwa uzalendo wao . Kwa miaka mingi mmekuwa mkibezwa na watawala wakishirikiana na bunge la ndiooo, lakini sasa kelele hizo zimeeleweka kwa Mh rais na kuzivalia njuga, you guys you have to walk majestically and you are real patriots of this nation . Wale waliokuwa wanawabeza Leo Hii ndio hao hao watakaopitisha tena sheria walizozikataa hapo zamani... thumb up guys .
Be blessed
Be blessed