Ahsante uchaguzi Serikali za mitaa, Gongolamboto tumejengewa barabara

Kidamva

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
2,580
1,981
Zikiwa zimebaki saa chache tukapige kura za Serikali za mitaa, caterpilar limepita huku Majohe Gongolamboto linakwangua barabara mitaani. Yaani wanasubiri uchaguzi ufike ndio watekeleze ahadi? Subiri kesho kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom