Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,177
Ahsante Tours hawawezi kuwa wazalendo wakati wanaendesha kampuni kwa ujanja ujanja huku wakiongoza kwa kukwepa kodi na biashara haramu ya kuingiza watalii kinyemela.
Kwa nini wanawaingiza mawaziri wetu na TANAPA katika mgogoro unaotokana na ubishi wao wa kulipa deni linalotokana na mapato ambayo tayari yameyapokea ?
Kwanini Nyalandu anawaita wazalendo wakati wanaongoza mbinu chafu za uhujumu uchumi ?
Vipi kama kampuni za wageni zitaiga mtindo dhalimu wa Ahsante Tours ?